Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hahahahha ukisikia tu Mama junior, ujue ki junior ni cha mme wa mtu.Na hili jina wanawake akizaa na mwanaume aliyeoa wanalipenda jamani.
Sijui ndo jamaa ajione kuwa kuna twin wake anaexist huko.
Maisha hayaπππππ
Yani nakwambia kina Junior wengi ninaowajua.Hahahahha ukisikia tu Mama junior, ujue ki junior ni cha mme wa mtu.
Nimekumiss sweetheart.....
Niko poa kabisa....Yani nakwambia kina Junior wengi ninaowajua.
Baba ana familia nyingine.
Anyways!!
Miss you too sweetie.
Uko poa?
Sioni comments za wazee wa kutoa miongozo hapa.....
"Mi mwanamke akicheat nafukuza"
"Mwamba fukuza hiyo malaya inakuchukulia poa"
" Wanaume kucheat ni nature yetu," nk nk
Wakulungwa toeni mwongozo kwa mkulungwa mwenzenu
Mpe ushauri baba Junior, hali tete....πAah miongozo ni hadi sisi tuchepuke. Mmenichekesha sana na kina junior
Si ameshaambiwa amfukuze tu mke, mke sio ndugu yake; ndugu yake ni mtoto wake.Mpe ushauri baba Junior, hali tete....[emoji16]
Junior ni mchanga ndio ana miezi kadhaaKama ulimpata mtoto kabla ya ndoa, ulichokosea ni kutomweleza mapema.
Ila kama ulimpata mtoto ukiwa ndani ya ndoa ulikosea sana. Na ujinyenyekeshe kwake.
Haya mambo ya kujifanya unampa mtoto jina la kwao mwanaume ni kujiingiza chaka, tena bora umpe jina la Bibi sio babu.Si ameshaambiwa amfukuze tu mke, mke sio ndugu yake; ndugu yake ni mtoto wake.
Siku hizi michepuko imebuni mbwinu, mtoto anapewa jina la nyumbani kabisa la babu yake. Yaani ndugu wakisikia tu jina, wanasema aah huyu wa kwetu kabisa.
Hahaha sasa akiwa junior ndiyo tutampa tu la babu yake, akiwa nyange tutabadiligi mbele ya safari[emoji23][emoji23][emoji23]Haya mambo ya kujifanya unampa mtoto jina la kwao mwanaume ni kujiingiza chaka, tena bora umpe jina la Bibi sio babu.
Ref mobeto kamuita mtoto Abdul baada ya muda inajulikana kumbe Abdul sio biological father, mdingi ni nyange....[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh! AiseeHaya mambo ya kujifanya unampa mtoto jina la kwao mwanaume ni kujiingiza chaka, tena bora umpe jina la Bibi sio babu.
Ref mobeto kamuita mtoto Abdul baada ya muda inajulikana kumbe Abdul sio biological father, mdingi ni nyange....[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi junior Ni jina .?Hahahahha ukisikia tu Mama junior, ujue ki junior ni cha mme wa mtu.
Nimekumiss sweetheart.....
Yeah ni jinaHivi junior Ni jina .?