Naombeni ushauri mpenzi wangu ameniblock kwenye namba zote na nikimpigia kwa simu nyingine hapokei!

Naombeni ushauri mpenzi wangu ameniblock kwenye namba zote na nikimpigia kwa simu nyingine hapokei!

Asante kaka lakn nampenda sana sana!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Sio unampenda sana sana, wew mgeni wa kuto..m.ba subiri ukue ndo utajua ukweli kama ulikuwa unampenda au utoto unawasumbua.
 
Tafuta mademu zaidi ya mmoja kwa kufanya nao sex kwa njia salama za kiafya ili kuondoa utegemezi kutoka kwake kila kitu kitakuwa normal.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana ua nawapga na kuondoka, mzee baba awa mademu sio watu yaani ua wanaishi tu.

na utakuja kukumbuka maneno yangu, ww ni mkubwa wangu, watoto wa kikea ata kama ungemjengea chini ya bahari, ata kama unhekuepo uwezekano ukamtoa la saba, ukamrusha mpaka phd ndani ya mda mfupi, hataridhika.

na uzuri, watoto wa kike wapo wengi mzee baba, tafta demu, kama uko dar mi nko tiari ata kukuoa demi wangu, ni mzuri na bado ana bikra mi nakupa utatoa wewe, nenda nae, au ntakupa mdada yeyote mzuri.

madem wapo wengi mno, unaekutana nae leo, kesho utakutana mwingine mzuri, yaani naandika kwa herufi kubwa ACHANA NAE, ipo siku atarudi, na akirudi MKIMBIE, atakuletea magonjwa na asiporudi muache so mtu tena uyo hutadumu nae.

MUACHE
 
ata kama alkua anakaza papuchi hujala mteme yaani mzee unalalamikia mapenzi,

mtu tunaishi mda mrefu na wapenzi unakuta unao ata hmtext, mpaka ukjisikia kula,

alafu unamsumbua sana, kausha ata wiki 3, ila mi nashauri mteme, dem mwenyewe ukute alkua na shimo.

watu mademu wanawatoboa na wanaacha mda uo uo, nasemaje muache,
 
Naombeni mnishauri nilikuwa na mpenzi nimekaa naye miaka minne kwanzia nikiwa first year had nahitimu, yeye alikuwa certificate ila sasa amebadilika sana ananiumiza sana akili

Kwa sababu nampenda sana! Japo hakuna anayejua nyumban kwa wazazi hata mmoja zaidi sana anajua geto kwangu hivi majuzi tumekosana nikamuomba msamaha akanisamehee, akaja kunikiosea na yeye akavizia wakat sipo akaja geto akaanza kufua na kuniletea vest kisha akaniomba msamahaa! ,

Baada ya hapo ameanza kuchange anakasirika bila sababu nikimpigia sim anakuaa na haraka ya kukata! Kwa sasa anauza duka la mtu na mimi ninafundisha ! nimemuomba aje auze duka langu hataki juzi aliniambia nataka kwenda kanisani kwenye mkesha ila kwa sababu ya kuwa amebadilika nikamwambia kawadanganye watoto..

Maana jana yake nilimwambia nimuone akaniambia amenyimwa na mwajiri wake iweje kesho yake aniambia anaenda mkesha! mimi nikamwambia kawadanganye watoto! jana amechange kabsa anasema tuna mapenzi ya kitto ya kuchungana na bora tuachane! Nikamwambia nisamehee hataki nimempgia simu usiku kucha hapokei.

Leo nimempigia mchana kutwa akaniblock! na simu ya mtu mwngine hapokei! naomben ushauri wapendwa hapo nifanyaje? Wakati nampenda sana na nilimpromis mwezi wa tatu nimlipie arudie mtihani wa form four koz ya certificate yake ni mbovu anaogopa kuomba kazi kwa sababa ya matokeo yake! nishaurini wapendwa maana nimepigwa block na namuomba sana Mungu amrudishe kwangu!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Wajanja wanasema UKIONA MANYOYA JUA KUKU WAKO KASHALIWA APO. Ushauri wangu ni juu yako kutafuta mwengine wa kufuga au kudeal na mwizi wako akurejeshee japo kashamuonja supu kabla hajammaliza mazima
 
Aise demu anapenda kwenda club! Nikamwambia mm club noo hutaenda ! Ila alivonambia anaenda chach nikwambia hapan nam nataka niende na ww nikaenda naye kwanzia hapo akaniona mm namlea simuamn ananimbia namuona mtoto

Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyo demu kashajanjaruka so anakuona wewe ndezi tu. Cha msingi na mfereji mkatie umeme ghafla!

Usimpigie tena simu wala kumtafuta, kashakustukia unambana bana sana so anataka kuwa free, umemsuffocate sana na kimsingi kashaichoka hio hali. Isitoshe kuna boya kashaanza kumfariji huko mtaani so anafikiria akuteme tu ili awe free nae. Hii ni siri nakupa tu.Akirudia kukusaka jua bado anakupenda ila asipokutafuta tena jua ndio ntolee hio, mpe week nzima usimpigie na akipiga usipokee.

Next time tambua mwanamke hachungwagi. Its either atakupenda atulie zake akiwa na wewe tu au anakuinjoy tu ale hela zako ila akili iko kwa mwengine. Just be real nae tu bila kumletea wenge na kumsimanga, ukiona anazingua nae unapiga chini tu. Kuwa mwanaume next time. Kukurahisishia katika hilo hakikisha una mademu wawili au wa 3. Hio italeta balance na kuondoa wivu wa kijinga.
 
Utoto na utaahira vimekujaa sana, ukikua utagundua ya kuwa vocabulary ya "nampenda sana siwezi kumuacha" hai'exist katika maisha halisi.
Instead of using your emotions kwenye maamuzi yako use your brain na hapo kila kitu kitakuwa rahisi.
Usimmaindi sana chalii, ndio anajifunza mapenzi. Baharia hawezi kuja kulia lia namna hii, huwa anaelewa kabisa mwanamke below 25 yrs sio wa kufanya nae malengo bali ni sex toy tu.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Umemaliza chuo lkni bado akili yako haiwezi kung'amua mambo aya ngoja akusamehe upate maumivu mara mbili kuwa na mahusiano na mtu asiyejitambua anataka nn ni sawa na kuendesha gari lisilo maafuta wala halitaenda na unajua kabisa halitaenda.

Ila tambua tu mchumba asomeshwi. Somesha mdogo wako ivi wanawake wengine hamuwaoni jmn cute b yupo apo humuoni
Mwana kuyataka mwanakuyapata

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kuwa halina mafuta, yapo ila gauge mbovu. Ni sawa na kusafiria gari lenye gauge mbovu ya mafuta na tairi kipara. Hujui mda gani na wapi litazimikia ama ku burst🤣🤣🤣
 
Naombeni mnishauri nilikuwa na mpenzi nimekaa naye miaka minne kwanzia nikiwa first year had nahitimu, yeye alikuwa certificate ila sasa amebadilika sana ananiumiza sana akili

Kwa sababu nampenda sana! Japo hakuna anayejua nyumban kwa wazazi hata mmoja zaidi sana anajua geto kwangu hivi majuzi tumekosana nikamuomba msamaha akanisamehee, akaja kunikiosea na yeye akavizia wakat sipo akaja geto akaanza kufua na kuniletea vest kisha akaniomba msamahaa! ,

Baada ya hapo ameanza kuchange anakasirika bila sababu nikimpigia sim anakuaa na haraka ya kukata! Kwa sasa anauza duka la mtu na mimi ninafundisha ! nimemuomba aje auze duka langu hataki juzi aliniambia nataka kwenda kanisani kwenye mkesha ila kwa sababu ya kuwa amebadilika nikamwambia kawadanganye watoto..

Maana jana yake nilimwambia nimuone akaniambia amenyimwa na mwajiri wake iweje kesho yake aniambia anaenda mkesha! mimi nikamwambia kawadanganye watoto! jana amechange kabsa anasema tuna mapenzi ya kitto ya kuchungana na bora tuachane! Nikamwambia nisamehee hataki nimempgia simu usiku kucha hapokei.

Leo nimempigia mchana kutwa akaniblock! na simu ya mtu mwngine hapokei! naomben ushauri wapendwa hapo nifanyaje? Wakati nampenda sana na nilimpromis mwezi wa tatu nimlipie arudie mtihani wa form four koz ya certificate yake ni mbovu anaogopa kuomba kazi kwa sababa ya matokeo yake! nishaurini wapendwa maana nimepigwa block na namuomba sana Mungu amrudishe kwangu!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mambo ya chuo yameisha rudi kwenye maisha halisi
 
Back
Top Bottom