mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Hivi kwani ukisubiri siku tatu au nne kuna tatizo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio unampenda sana sana, wew mgeni wa kuto..m.ba subiri ukue ndo utajua ukweli kama ulikuwa unampenda au utoto unawasumbua.Asante kaka lakn nampenda sana sana!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wajanja wanasema UKIONA MANYOYA JUA KUKU WAKO KASHALIWA APO. Ushauri wangu ni juu yako kutafuta mwengine wa kufuga au kudeal na mwizi wako akurejeshee japo kashamuonja supu kabla hajammaliza mazimaNaombeni mnishauri nilikuwa na mpenzi nimekaa naye miaka minne kwanzia nikiwa first year had nahitimu, yeye alikuwa certificate ila sasa amebadilika sana ananiumiza sana akili
Kwa sababu nampenda sana! Japo hakuna anayejua nyumban kwa wazazi hata mmoja zaidi sana anajua geto kwangu hivi majuzi tumekosana nikamuomba msamaha akanisamehee, akaja kunikiosea na yeye akavizia wakat sipo akaja geto akaanza kufua na kuniletea vest kisha akaniomba msamahaa! ,
Baada ya hapo ameanza kuchange anakasirika bila sababu nikimpigia sim anakuaa na haraka ya kukata! Kwa sasa anauza duka la mtu na mimi ninafundisha ! nimemuomba aje auze duka langu hataki juzi aliniambia nataka kwenda kanisani kwenye mkesha ila kwa sababu ya kuwa amebadilika nikamwambia kawadanganye watoto..
Maana jana yake nilimwambia nimuone akaniambia amenyimwa na mwajiri wake iweje kesho yake aniambia anaenda mkesha! mimi nikamwambia kawadanganye watoto! jana amechange kabsa anasema tuna mapenzi ya kitto ya kuchungana na bora tuachane! Nikamwambia nisamehee hataki nimempgia simu usiku kucha hapokei.
Leo nimempigia mchana kutwa akaniblock! na simu ya mtu mwngine hapokei! naomben ushauri wapendwa hapo nifanyaje? Wakati nampenda sana na nilimpromis mwezi wa tatu nimlipie arudie mtihani wa form four koz ya certificate yake ni mbovu anaogopa kuomba kazi kwa sababa ya matokeo yake! nishaurini wapendwa maana nimepigwa block na namuomba sana Mungu amrudishe kwangu!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huyo demu kashajanjaruka so anakuona wewe ndezi tu. Cha msingi na mfereji mkatie umeme ghafla!Aise demu anapenda kwenda club! Nikamwambia mm club noo hutaenda ! Ila alivonambia anaenda chach nikwambia hapan nam nataka niende na ww nikaenda naye kwanzia hapo akaniona mm namlea simuamn ananimbia namuona mtoto
Sent from my iPhone using JamiiForums
Usimmaindi sana chalii, ndio anajifunza mapenzi. Baharia hawezi kuja kulia lia namna hii, huwa anaelewa kabisa mwanamke below 25 yrs sio wa kufanya nae malengo bali ni sex toy tu.Utoto na utaahira vimekujaa sana, ukikua utagundua ya kuwa vocabulary ya "nampenda sana siwezi kumuacha" hai'exist katika maisha halisi.
Instead of using your emotions kwenye maamuzi yako use your brain na hapo kila kitu kitakuwa rahisi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Usipokuwa makini atakuharibia maisha yako,wewe utapoteza chanel mwenzako akiishi maisha ya furaha na mtu mwingine;kwa ushauri achana naye.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Acha kusumbua watu wako faragha anahitaji concetration ndiyomaana kakutia block.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂🤣🤣🤣🤣 we hujui mapenzi ya mwanzoni yalivyo magumu eeh! Usijifanye kusahau yaliokutokea O'level binti.Sasa kama amekublock si usahau tu hata jina lake ...mtu unablokiwa bado unaomba ushauri hujui kama hutakiwi
Sent using Jamii Forums mobile app
samsung kidole au tochi 🤣🤣🤣🤣🤣Eti milio tu kama ya samsung[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
hakika mkuu
Sio kuwa halina mafuta, yapo ila gauge mbovu. Ni sawa na kusafiria gari lenye gauge mbovu ya mafuta na tairi kipara. Hujui mda gani na wapi litazimikia ama ku burst🤣🤣🤣Umemaliza chuo lkni bado akili yako haiwezi kung'amua mambo aya ngoja akusamehe upate maumivu mara mbili kuwa na mahusiano na mtu asiyejitambua anataka nn ni sawa na kuendesha gari lisilo maafuta wala halitaenda na unajua kabisa halitaenda.
Ila tambua tu mchumba asomeshwi. Somesha mdogo wako ivi wanawake wengine hamuwaoni jmn cute b yupo apo humuoni
Mwana kuyataka mwanakuyapata
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya chuo yameisha rudi kwenye maisha halisiNaombeni mnishauri nilikuwa na mpenzi nimekaa naye miaka minne kwanzia nikiwa first year had nahitimu, yeye alikuwa certificate ila sasa amebadilika sana ananiumiza sana akili