Hapa unatakiwa uwe na hela ya kuonga japokuwa hata 30 ama 50 ,mkono mtupu hua haulambwiHongera kijana mwenzangu hata mimi sina kazi nimekuwa nikizunguka viwandan kutafuta ajira bila mafanikio ila sijakataa tamaa, ili nilichogundua kwa viwanda ving n ngumu kupata kazi kama huna mtu wa kukushika mkono.
Ni viwanda gani ulivyojaribu mkuu?? Na majibu yao yalikuajeHongera kijana mwenzangu hata mimi sina kazi nimekuwa nikizunguka viwandan kutafuta ajira bila mafanikio ila sijakataa tamaa, ili nilichogundua kwa viwanda ving n ngumu kupata kazi kama huna mtu wa kukushika mkono.
Kuna mtu aliniambia kuna viwanda vunahutaji barua toka serikali ya mtaa kama cha backhresa!! Vipi hii imekaaje mkuu. Ni viwanda vyote vina kasumba ya rushwa??Hapa unatakiwa uwe na hela ya kuonga japokuwa hata 30 ama 50 ,mkono mtupu hua haulambwi
Sehemu nyingi sasaivi wanapenda sana uwe na barua ya utambulisho wa eneo utokali.......sio viwanda vingi ila iyo nayo ni mojawapo ya kupata kazi,Fanya kitu kimoja nenda kwenye kiwanda chochote kile jifanye kama mjinga vile kisha piga nae story mlinzi wa getini kisha chukua mawasiliano yake kisha mdakishe hata buku 5 uone atakavyokumwagikia michongo yote ya humo ndaniKuna mtu aliniambia kuna viwanda vunahutaji barua toka serikali ya mtaa kama cha backhresa!! Vipi hii imekaaje mkuu. Ni viwanda vyote vina kasumba ya rushwa??
Poapoa makini mzee, shukran sana.Sehemu nyingi sasaivi wanapenda sana uwe na barua ya utambulisho wa eneo utokali.......sio viwanda vingi ila iyo nayo ni mojawapo ya kupata kazi,Fanya kitu kimoja nenda kwenye kiwanda chochote kile jifanye kama mjinga vile kisha piga nae story mlinzi wa getini kisha chukua mawasiliano yake kisha mdakishe hata buku 5 uone atakavyokumwagikia michongo yote ya humo ndani
toa hela upate kazi.damka asubuhi mapema nenda kwenye kiwanda husika onana na supervisor jaribu kuulizia uonyeshwe supervisors ongea naye kwa maneno shida yako ukiona anazingua mwambie utampa ela elfu 50 usiwe bahiri hiyo 50 utairudisha wiki tu ukiwa job.pia usitake kazi siku hiyo hiyo mwambie kesho asubuhi utakuja nayo hiyo 50 pia kuwa chilii chalii flani usiwe mpole mpole.nakuhakikishia kwa asilimia 80 hawezi kukuacha utakuja kunishukuru ndugu. usisahau mrejesho hapa jukwaani.Poapoa makini mzee, shukran sana.
Kisanga ni kuipata iyo 50k mkuu.toa hela upate kazi.damka asubuhi mapema nenda kwenye kiwanda husika onana na supervisor jaribu kuulizia uonyeshwe supervisors ongea naye kwa maneno shida yako ukiona anazingua mwambie utampa ela elfu 50 usiwe bahiri hiyo 50 utairudisha wiki tu ukiwa job.pia usitake kazi siku hiyo hiyo mwambie kesho asubuhi utakuja nayo hiyo 50 pia kuwa chilii chalii flani usiwe mpole mpole.nakuhakikishia kwa asilimia 80 hawezi kukuacha utakuja kunishukuru ndugu. usisahau mrejesho hapa jukwaani.
Funga safar mpaka mkuranga pwani kijij Cha mkiu Kuna kiwanda Cha tailiz pale ajila zpo kila kukichaHabari ndgu zangu,
Kijana wenu hapa nimekuja kuomba msaada kwenu.
Kwasasa sina mtaji hivyo nimeamua kuliko kukaa bure tu na kusubiri vya kupewa nimeona bora nijikite huko VIWANDANI.
Hivyo basi nimekuja hapa kuomba kujuzwa namna ya kupata hizo kazi, natakiwa kua na nini na nini ili nipate kibarua viwandani?? Pia niko vyema kiafya ya akili na mwili ndio maana naingia huko.
Naomba kujua ni viwanda gani vina ujira mzuri kuliko vingine.
Nipo Dar es salaam wakuu, karibuni kwa maoni.
Mkuu naomba unipe details kidogo kutoka mbagala hadi huko nauli sh ngapi? Ili nijitathmini toka huku chanika nilipo nitatumia sh ngapi kwenda na kurudi. Maana kwasasa hali yangu mbaya sana kiuchumi na zaidi sina msaadaFunga safar mpaka mkuranga pwani kijij Cha mkiu Kuna kiwanda Cha tailiz pale ajila zpo kila kukicha
Yaah hii pia kuna mtu alishawahi kuniambia kua pale kazi zipo ila ni ngumu. Kwa hali ya sasa wacha mtu uende walau ukapate uzoefu wa kazi unakuaje.Kwa Bakhressa kazi za vibarua zipo kila siku pale Buguruni , unapeleka Barua ya serikali za mtaa Unaingia. ,
Utofauti kaz za pale Ni ngumu Sana ndo watu wanahitaji kila siku hivyo nenda kajionee mwenyewe utatupa. Mrejesho.
Lakini samahan mkuu hivi ni saa ngapi hasa ni muda mzuri wa kupata apo kazi na je unamuona nani mkuu ila upaye hiyo kazi.Kwa Bakhressa kazi za vibarua zipo kila siku pale Buguruni , unapeleka Barua ya serikali za mtaa Unaingia. ,
Utofauti kaz za pale Ni ngumu Sana ndo watu wanahitaji kila siku hivyo nenda kajionee mwenyewe utatupa. Mrejesho.
Pale nenda na barua ya utambulisho , ukifika utamuona mrinzi nenda kuanzia Ahsubui ya Saamoja J.3 hadi ijumaa au saa kumi na mbili ya jioni.Lakini samahan mkuu hivi ni saa ngapi hasa ni muda mzuri wa kupata apo kazi na je unamuona nani mkuu ila upaye hiyo kazi.
Dah mkuu huo msisitizo wa kazi ngumu inaweza kuwa kweli ngoma ngumu. Lakini mkuu kupata ni uhakika?Pale nenda na barua ya utambulisho , ukifika utamuona mrinzi nenda kuanzia Ahsubui ya Saamoja J.3 hadi ijumaa au saa kumi na mbili ya jioni.
Angalizo :- kazi Ni ngumu
Unaweza kulipwa elf 6 Lakini kazi yake. Ningumu Sana.
Kwani mkuu masaa ya kazi hapo ni mangapi mkuu? Namaanisha huwa wanaingia saa ngapi na kutoka saa ngapi??Pale nenda na barua ya utambulisho , ukifika utamuona mrinzi nenda kuanzia Ahsubui ya Saamoja J.3 hadi ijumaa au saa kumi na mbili ya jioni.
Angalizo :- kazi Ni ngumu
Unaweza kulipwa elf 6 Lakini kazi yake. Ningumu Sana.
Sio huyo tu mkuu ni wengi ukiuliza wankupa huo msisitizo wa pale kua kazi ni ngumu. Kwahiyo tuweke akilini tu kua kazi pale ni ngumu twende tukiwa na mentality hiyo.Dah mkuu huo msisitizo wa kazi ngumu inaweza kuwa kweli ngoma ngumu. Lakini mkuu kupata ni uhakika?
Sawa mkuuSio huyo tu mkuu ni wengi ukiuliza wankupa huo msisitizo wa pale kua kazi ni ngumu. Kwahiyo tuweke akilini tu kua kazi pale ni ngumu twende tukiwa na mentality hiyo.