Naombeni ushauri nataka kufungua duka la dawa nina mtaji wa milion 10

kataza

Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
28
Reaction score
58
Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu.

Siwezi kukaa mwenyewe kutokanq na majukumu yangu kwahiyo nimepangq nimuweke mtu kwa ajili ya kuuza.

Naomba kufahamishwa namna ya kuiongoza biashara hii na changamoto zake.
 
Huyo mtu unayetaka kumuweka ana qualification zipi
 
Daaah kama ww huna muda usifungue. Vijana w Tanganyika awabebeki.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu.

Siwezi kukaa mwenyewe kutokanq na majukumu yangu kwahiyo nimepangq nimuweke mtu kwa ajili ya kuuza.

Naomba kufahamishwa namna ya kuiongoza biashara hii na changamoto zake.
Komaa mwenyewe kwanza maana hawa vibarua wamekuwa na tabia ya kuiba wateja pindi wanapotaka kuacha kazi, hivyo akihama anahama na wateja wako.

Pili huyo kibarua ana cheti?
 
Back
Top Bottom