Moyo mwema ni hazina
Procurement akasome Cyber wapi na wapi na ukute hana hata Computer basic skill zaidi ya Ms Office ya 2007..We zombie HAUJUII balaa lakeKama uko vizuri chukua cyber security, more prosperity.
Ukihitaji guidance, am here to give you pen to study
Hapo nadhani sio chuo umesoma nini? Kusoma nini chuo itategemea na kama requirements zao zinatakabkoz flan ya chuo. Vinginevyo inatakiwa ujue pre-requirements za hio koz, yaan unatakiwa uwe na misingi ya vitu gani kichwani?Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB? .please ushauri wenu ni muhimu sana ili niweze kufanya maamuzi kabla deadline ya ku apply na kufanya malipo ni 27/feb. Asanteni .
kama kuna member wameshafanya hizi programs za Alx africa naombeni uzoefu wenu je nitatoboa? muda ninao,pc ninayo mchawi ni bando tuu ila nitajitahidi kama inawezekana.View attachment 2905961
je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB?
Unatoboa tu mkuu.Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB? .please ushauri wenu ni muhimu sana ili niweze kufanya maamuzi kabla deadline ya ku apply na kufanya malipo ni 27/feb. Asanteni .
kama kuna member wameshafanya hizi programs za Alx africa naombeni uzoefu wenu je nitatoboa? muda ninao,pc ninayo mchawi ni bando tuu ila nitajitahidi kama inawezekana.View attachment 2905961
hawana vigezo vigumu wanachotaka uwe unajua english,uwe na laptop na strong internet connectionHapo nadhani sio chuo umesoma nini? Kusoma nini chuo itategemea na kama requirements zao zinatakabkoz flan ya chuo. Vinginevyo inatakiwa ujue pre-requirements za hio koz, yaan unatakiwa uwe na misingi ya vitu gani kichwani?
Dada analytics zimegawika sana. Kuna watu husoma statistics ya art, hio unatakiwa kuwa msingi wa hisabati uliokomaa kidogo. Japo ukomavu wa msingi utategemea na kozi yenyewe wanafundisha nini. Mfano kuna takwimu utatakiwa ujue ku integrate na ku differentiate huu ni mfano tu ndio tunarudi kusema unatakiwa kujua sai wanataka uwe na vigezo gani kama foundation.
Kuna takwimu ya sayansi hii imepinda kidogo. Hisabati iwe vizuri kichwani+computer skills kwa ajili ya practice.
Zamani analytics zilikua zinafanyika manually ndio maana walitaka sana mtu mwenye uelewa wa hisabati, ila sasa ivi software ndio habari ya mjini. Kibongobongo bado vyuoni watu wanakomaa na ma theory sana kufundisha hizi koz wakati software zinaweza kufanya kila kitu (japo kuna maana kubwa sana pia kuijua theory kindakindaki).
Ushauri kabisa, nenda ukasome mahitaji yao, wanataka uwe na skills zipi ili uweze ku join kisha linganisha na skills zako ndio utajua
Kwa vigezo hivyo hakuna kitu kizito hapo. Ni descriptives tu za kawaida. Hakuna kizito hapo. Applyhawana vigezo vigumu wanachotaka uwe unajua english,uwe na laptop na strong internet connection View attachment 2906023View attachment 2906024View attachment 2906025
kwenye kufuata ratiba naweza sina mambo mengi, wasiwasi wangu tuu kama course yenyewe inaingilika kwa sisi watu wa college of business 😂inawezekana sana tu mpaka umechimba ukawapata alx nakuona kama mtu unaeweza
kigumu ni kuwa na ile nidhamu ya kufuata ratiba na kufanya mazoezi
unajigopa, sasa sijui nakushauri vipikwenye kufuata ratiba naweza sina mambo mengi, wasiwasi wangu tuu kama course yenyewe inaingilika kwa sisi watu wa college of business 😂
excel yenyewe niliofundishwa chuo nimesahau,kwa hiyo hapo naweza kutoboa kweli maana nitakuwa mwenyewe sina mtu wa kunifundisha pembeni endapo nitakwama kama inavyokuwaga chuoKitu kigumu kwako kitakuwa kwenye Data Query na skills za excel kwa sababu nimeona wanafundisha na Power BI...
Acha ukatisha watu tamaaProcurement akasome Cyber wapi na wapi na ukute hana hata Computer basic skill zaidi ya Ms Office ya 2007..We zombie HAUJUII balaa lake