The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 852
- 1,978
Kwanini usijifunze kilimo cha maparachichi na ufugaji wa kuku navona vitakusaidia zaidi kwa mazingira ya hapa Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ninachojua siku hizi za maendeleo ya technology siyo kama zamani. Almost unaweza kusoma chochote mradi tu uwe na bidii. Yale mambo ya kusema nina background sijui ya Arts yamepitwa na wakati. Hiyo course unaweza kabisa kuifanya sema utatakiwa kufanya kazi zaidi ili ku-cover zile skills ambazo huna. Unajua kitu kinachoitwa ChartGPT? Hii ni Artificial Intelingence itakupa msaada mzuri sana sana wakati unasoma kama umekwama sehemu. Kikwazo chako kwa namna fulani naona kitakuwa Internet kwa sababu Bongo speed iko chini, lakini siyo issue kubwa sana kama umejipanga vizuri kiuchumi.Na mimi nataka skills ambayo naweza kuwa ata freelancer ndo nikajikuta naichagua hiyo data analytics lakini sina uzoefu kabisa
kujitahidi naweza na kuongeza skills mbali mbali ninachotaka nikufanya uchaguzi sahihi wa course ya kukomaa nayo tuu na iwe ina maslahi endelevu kwenye huu ulimwengu wa digital,chartgpt naitumia sana kwenye vitu vingi,hapo kwenye internet ndo kipengele nategemea kutumia hotspot, router ipo lakini sitaweza kwasasa nipo vibayaMimi ninachojua siku hizi za maendeleo ya technology siyo kama zamani. Almost unaweza kusoma chochote mradi tu uwe na bidii. Yale mambo ya kusema nina background sijui ya Arts yamepitwa na wakati. Hiyo course unaweza kabisa kuifanya sema utatakiwa kufanya kazi zaidi ili ku-cover zile skills ambazo huna. Unajua kitu kinachoitwa ChartGPT? Hii ni Artificial Intelingence itakupa msaada mzuri sana sana wakati unasoma kama umekwama sehemu. Kikwazo chako kwa namna fulani naona kitakuwa Internet kwa sababu Bongo speed iko chini, lakini siyo issue kubwa sana kama umejipanga vizuri kiuchumi.
huo mtaji wakulima na ku grade parachichi utanipa wewe? , kwenye ufugaji nipo ila naona napoteza muda tuu sina mtaji mkubwa , na pia hiyo data analytics nasoma kwasababu ya soko la duniaKwanini usijifunze kilimo cha maparachichi na ufugaji wa kuku navona vitakusaidia zaidi kwa mazingira ya hapa Tanzania
Kazana mkuu. Nadhani unajua kuwa siku hizi kuna kitu kinachoitwa ''digital nomad'', unafanya kazi ukiwa popote. Kuna watu wengi wamekimbia Ulaya na kuhamia nchi za Asia yenye maisha nafuu, wanafanyanyia kazi wakiwa huko japo wameajiriwa Ulaya au USA. Mshahara ambao ukiwa eg USA ungeona kama ni mdogo, ukienda nchi kama Thailand kwenye maisha nafuu unakuwa mkubwa kabisa. Nilikuwa nasoma leo kuwa hata Japan wameanza kutoa digital normad visa za miezi 6, kwa watu wa aina hiyo. Of course nchi kama Tanzania wazungu hawatapenda kuja kuishi kwa sababu ya ukosefu wa realible Internet, matibabu ya uhakika na usalama kwa ujumla, lakini kwa M'bongo ukipata kazi kama hiyo, hata kama utakuwa unalipwa dola 2500, unaishi vizuri tu.kujitahidi naweza na kuongeza skills mbali mbali ninachotaka nikufanya uchaguzi sahihi wa course ya kukomaa nayo tuu na iwe ina maslahi endelevu kwenye huu ulimwengu wa digital,chartgpt naitumia sana kwenye vitu vingi,hapo kwenye internet ndo kipengele nategemea kutumia hotspot, router ipo lakini sitaweza kwasasa nipo vibaya
inawezekana kabisa ni wewe tu kuamua unataka maisha yako yaelekee wapi.Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB?
Please ushauri wenu ni muhimu sana ili niweze kufanya maamuzi kabla deadline ya ku apply na kufanya malipo ni 27/feb. Asanteni.
Kama kuna member wameshafanya hizi programs za Alx africa naombeni uzoefu wenu je nitatoboa?
Muda ninao,pc ninayo mchawi ni bando tuu ila nitajitahidi kama inawezekana.
View attachment 2905961
Yes nakupata vyema kabisa, mimi zamani nilikuwa naona haya mambo ya technology sio rahisi kutoboa kwasababu ya ushindani mkubwa wa wahindi lakini sasa hivi kampuni nyingi za ulaya na marekani huwa zinapenda pia kuajiri watu waliopo africa na sasa hivi work from home ndo habari ya duniaKazana mkuu. Nadhani unajua kuwa siku hizi kuna kitu kinachoitwa ''digital nomad'', unafanya kazi ukiwa popote. Kuna watu wengi wamekimbia Ulaya na kuhamia nchi za Asia yenye maisha nafuu, wanafanyanyia kazi wakiwa huko japo wameajiriwa Ulaya au USA. Mshahara ambao ukiwa eg USA ungeona kama ni mdogo, ukienda nchi kama Thailand kwenye maisha nafuu unakuwa mkubwa kabisa. Nilikuwa nasoma leo kuwa hata Japan wameanza kutoa digital normad visa za miezi 6, kwa watu wa aina hiyo. Of course nchi kama Tanzania wazungu hawatapenda kuja kuishi kwa sababu ya ukosefu wa realible Internet, matibabu ya uhakika na usalama kwa ujumla, lakini kwa M'bongo ukipata kazi kama hiyo, hata kama utakuwa unalipwa dola 2500, unaishi vizuri tu.
mawazo kama yako ndio yanafanya watu kufa bila kutimiza ndoto zaoProcurement akasome Cyber wapi na wapi na ukute hana hata Computer basic skill zaidi ya Ms Office ya 2007..We zombie HAUJUII balaa lake
Naomba maarifa hapa maana hata mimi niliwahi kuifikiria hii.Kama uko vizuri chukua cyber security, more prosperity.
Ukihitaji guidance, am here to give you pen to study
Ni flexible na unaweza kufanya kazi hata chumbani kwako, inahitaji utayari tuNaomba maarifa hapa maana hata mimi niliwahi kuifikiria hii.
We unataka za kuajiriwa kumbe,Asante, lakini hiyo cyber security naona haipo kwenye programs za alxafrica kwa sasa.
Cyber security sio somo la kukariri, ni ujuzi, akiwa na ujuzi atafurahi. Na zipo turns of resources onlineProcurement akasome Cyber wapi na wapi na ukute hana hata Computer basic skill zaidi ya Ms Office ya 2007..We zombie HAUJUII balaa lake
📌Unaweza nenda kasome, acha kujiona kama hutaweza kwa sababu sijui umesoma procurement, hiyo sio sababu ya wewe kushindwa kujifunza kitu kipya.
Nakuongezea ukimaliza hiyo ya AXL kuna website inaitwa "data with danny" unaweza kutembelea ukalipia nadhani ni 40usd utajifunza data analysis kwa undani zaidi na pia ana real life problems mtakua mnafanya itakusaidia kutengeneza portfolio yako hasa kama unataka kuwa freelancer.
Ukiweza pia tembelea youtube tutorial jifunze SQL( narecommend youtube channel inaitwa "mosh programming")
Anza tu mdogomdogo, weka malengo atleast ndani ya miezi sita utajitathmini safari inaendaje.Online kuna resources nyingi sana za kujifunza data analysis penda kusoma na kujifunza ukipata nafasi zitakuongezea kitu.
Sawahuo mtaji wakulima na ku grade parachichi utanipa wewe? , kwenye ufugaji nipo ila naona napoteza muda tuu sina mtaji mkubwa , na pia hiyo data analytics nasoma kwasababu ya soko la dunia