Naombeni ushauri nataka kujifunza Data analytics Online

Naombeni ushauri nataka kujifunza Data analytics Online

Kama uko vizuri chukua cyber security, more prosperity.

Ukihitaji guidance, am here to give you pen to study
Unamuingiza chaka mwenzio kisa unayo hiyo skill. Data analysis ndio additional skill inayoweza kukupatia kazi kiurahisi sana kuliko hiyo cyber security ambayo utaishia kuisoma na kubaki kutambia watu mitandaoni
 
excel yenyewe niliofundishwa chuo nimesahau,kwa hiyo hapo naweza kutoboa kweli maana nitakuwa mwenyewe sina mtu wa kunifundisha pembeni endapo nitakwama kama inavyokuwaga chuo

Jipe mazoezi...

SQL ni programming language kwa ajili ya kuchakata taarifa ambazo zipo kwenye relational database (kama excel)...

PowerBI ni tool ya Microsoft ambayo inachakata data za excel zilizokwisha pangiliwa vizuri, ili uweze kupata visualized dashboards kwa ajili ya high level presentation na projection...
 
Unamuingiza chaka mwenzio kisa unayo hiyo skill. Data analysis ndio additional skill inayoweza kukupatia kazi kiurahisi sana kuliko hiyo cyber security ambayo utaishia kuisoma na kubaki kutambia watu mitandaoni
Na mimi nataka skills ambayo naweza kuwa ata freelancer ndo nikajikuta naichagua hiyo data analytics lakini sina uzoefu kabisa
 
Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB? .please ushauri wenu ni muhimu sana ili niweze kufanya maamuzi kabla deadline ya ku apply na kufanya malipo ni 27/feb. Asanteni .
kama kuna member wameshafanya hizi programs za Alx africa naombeni uzoefu wenu je nitatoboa? muda ninao,pc ninayo mchawi ni bando tuu ila nitajitahidi kama inawezekana.View attachment 2905961
Achana na hizo, nna fully course Videos na resources, utajifunza MACHINE LEARN, DATA ANALYSIS, A.I

Utazama ujifunze, algorithm mbalimbali, ku clean data, data visualization n etc.

Hizi course zinauzwa njoo nkupe kwa Bei nafuuu.
 
hawana vigezo vigumu wanachotaka uwe unajua english,uwe na laptop na strong internet connection View attachment 2906023View attachment 2906024View attachment 2906025
Acha kuskiliza wabongo piga course vuta gamba lako tena unaweza kupata kazi nzuri kwenye NGO's kuliko muhitimu wa udsm anaesoma theory zilizopitwa na wakati...angalia na COURSEA pia wanatoa short course mzuri bure na certificate wanatoa google popote duniani unatambulika..maisha ni ujanjaujanja
 
Na
Achana na hizo, nna fully course Videos na resources, utajifunza MACHINE LEARN, DATA ANALYSIS, A.I

Utazama ujifunze, algorithm mbalimbali, ku clean data, data visualization n etc.

Hizi course zinauzwa njoo nkupe kwa Bei nafuuu.
Cheti utampa??
 
Na mimi nataka skills ambayo naweza kuwa ata freelancer ndo nikajikuta naichagua hiyo data analytics lakini sina uzoefu kabisa
Uzoefu sio ishu,ishu ni wewe tu kuwa na nia. Ninajamaa yangu alisomaga arts A level na akafundisha sana arts saizi ni Daktari. Story yake ndefu kidogo...alitumia cheti cha olevel kwenda kusoma clinical officer, then akajiendeleza
 
Jipe mazoezi...

SQL ni programming language kwa ajili ya kuchakata taarifa ambazo zipo kwenye relational database (kama excel)...

PowerBI ni tool ya Microsoft ambayo inachakata data za excel zilizokwisha pangiliwa vizuri, ili uweze kupata visualized dashboards kwa ajili ya high level presentation na projection...
Asante kwa muongozo huu nikifanikiwa nitaanza kuzipitia , hivi hapo kwenye alxafrica nimeona kama wanaanza foundation kabisaa sio kwa professional. Ningekuwa niliona mapema basi ningekuwa nishajua mbivu na mbichi za SQL lakini nitajitahidi kabla ya deadline
 
Hapo nadhani sio chuo umesoma nini? Kusoma nini chuo itategemea na kama requirements zao zinatakabkoz flan ya chuo. Vinginevyo inatakiwa ujue pre-requirements za hio koz, yaan unatakiwa uwe na misingi ya vitu gani kichwani?

Dada analytics zimegawika sana. Kuna watu husoma statistics ya art, hio unatakiwa kuwa msingi wa hisabati uliokomaa kidogo. Japo ukomavu wa msingi utategemea na kozi yenyewe wanafundisha nini. Mfano kuna takwimu utatakiwa ujue ku integrate na ku differentiate huu ni mfano tu ndio tunarudi kusema unatakiwa kujua sai wanataka uwe na vigezo gani kama foundation.

Kuna takwimu ya sayansi hii imepinda kidogo. Hisabati iwe vizuri kichwani+computer skills kwa ajili ya practice.

Zamani analytics zilikua zinafanyika manually ndio maana walitaka sana mtu mwenye uelewa wa hisabati, ila sasa ivi software ndio habari ya mjini. Kibongobongo bado vyuoni watu wanakomaa na ma theory sana kufundisha hizi koz wakati software zinaweza kufanya kila kitu (japo kuna maana kubwa sana pia kuijua theory kindakindaki).

Ushauri kabisa, nenda ukasome mahitaji yao, wanataka uwe na skills zipi ili uweze ku join kisha linganisha na skills zako ndio utajua
Sikuhizi ni uwezo wa Ku visualize tu kitu kichwani. Then una fanya machache sana sio mengi hivo.
 
Acha kuskiliza wabongo piga course vuta gamba lako tena unaweza kupata kazi nzuri kwenye NGO's kuliko muhitimu wa udsm anaesoma theory zilizopitwa na wakati...angalia na COURSEA pia wanatoa short course mzuri bure na certificate wanatoa google popote duniani unatambulika..maisha ni ujanjaujanja
Niliona hizo course za COURSEA naplan nizisome ni kisha soma hii ya alxafrica maana haina language ya python kama hizo za huko
 
Achana na hizo, nna fully course Videos na resources, utajifunza MACHINE LEARN, DATA ANALYSIS, A.I

Utazama ujifunze, algorithm mbalimbali, ku clean data, data visualization n etc.

Hizi course zinauzwa njoo nkupe kwa Bei nafuuu.
ingekuwa bure ningekuja ili nipate kwanza theory ndo nianze kutafuta cheti, kumbuka hizi coz za online kuna cheti na pia unakuwa listed kwa waajiri
 
kuna course pia jinsi ya kutumia AI hiyo ni bure , mimi naona hiyo kwangu ni nyepesi so naiweka pending kwanza
Ai haiwepeki kwa dunia tunayokwenda...hizi course za kuungaunga ndio mpango mzima kwa sasa, freelancing kunapesa kuliko maofisini
 
Ai haiwepeki kwa dunia tunayokwenda...hizi course za kuungaunga ndio mpango mzima kwa sasa, freelancing kunapesa kuliko maofisini
Yes , sasa hivi nataka nichangamke na hii scholarship ya alxafrica
 
Sikuhizi ni uwezo wa Ku visualize tu kitu kichwani. Then una fanya machache sana sio mengi hivo.
Hakika, japo ili uwe mtu kwenye watu lazima ujue kutumia software zenye mnymbuliko mkubwa kama SAS, R na kutumia dada collection tool za kisasa kama SurveyCTO na jamii zake
 
Back
Top Bottom