Naombeni ushauri nataka kujifunza Data analytics Online

Mimi ninachojua siku hizi za maendeleo ya technology siyo kama zamani. Almost unaweza kusoma chochote mradi tu uwe na bidii. Yale mambo ya kusema nina background sijui ya Arts yamepitwa na wakati. Hiyo course unaweza kabisa kuifanya sema utatakiwa kufanya kazi zaidi ili ku-cover zile skills ambazo huna. Unajua kitu kinachoitwa ChartGPT? Hii ni Artificial Intelingence itakupa msaada mzuri sana sana wakati unasoma kama umekwama sehemu. Kikwazo chako kwa namna fulani naona kitakuwa Internet kwa sababu Bongo speed iko chini, lakini siyo issue kubwa sana kama umejipanga vizuri kiuchumi.
ChartGPT ina install kwa cm?
 
Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB?

Please ushauri wenu ni muhimu sana ili niweze kufanya maamuzi kabla deadline ya ku apply na kufanya malipo ni 27/feb. Asanteni.

Kama kuna member wameshafanya hizi programs za Alx africa naombeni uzoefu wenu je nitatoboa?

Muda ninao,pc ninayo mchawi ni bando tuu ila nitajitahidi kama inawezekana.

View attachment 2905961

Data analytics inahitaji kwanza uwe na passion na numbers, nachokiona una shauku lakini sijui kama unapenda mahesabu, at least ukiwa unajua basic statistics & algebra itakuwa rahisi kuelewa data analysis vizuri, nadhani Coursera wana course nzuri kwa ajili ya data analysis kwa beginners, mfano, google analysis professional certificate, pia unaweza kucheck na hao Alx.
 
Vipi kuhusu sales force administrator?
 
Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB?

Please ushauri wenu ni muhimu sana ili niweze kufanya maamuzi kabla deadline ya ku apply na kufanya malipo ni 27/feb. Asanteni.

Kama kuna member wameshafanya hizi programs za Alx africa naombeni uzoefu wenu je nitatoboa?

Muda ninao,pc ninayo mchawi ni bando tuu ila nitajitahidi kama inawezekana.

View attachment 2905961
Nenda kasome mkuu tena ukipata muda ongezea na python programming.
 
Hongera.. but ww unachohitaji zaidi ni Analysis skills utakazozitumia ktk kazi na sio madude meengi ambayo hayana msaada ktk profesion yako.

Kozi ya mwezi mpk miezi miwil inatosha sana..
 
Watu8 ile assignment nilianza kuifatilia nimegundua laptop yangu sijui kama itafaa kujifunza SQL, ni chrome laptop
 
Sina uzoefu na chromebook, lakini naamini unaweza install excel, PowerBI, kujifunza SQL n.k

Nime google google naona kama inawezekana...
 
natamani ila sina idea kabisa na mambo ya IT,labda nikishapata uzoefu, afu hao alxafrica wamenishauri nichukue salesforce administrator au back end web development
Backend web development unadhan ni nyepesi ee? 😂😂😂 hao kwa ww na jinsia yako unafaa sana at least kupiga frontend.. Wanawake mnajua kupamba vitu. Huko nyuma ya mitambo sikushauri utaumia na hiv umesema huna ABC za IT.. Ihiii..
 
Sina uzoefu sana na chromebook, lakini naamini unaweza install excel, PowerBI, kujifunza SQL n.k

Nime google google naona kama inawezekana...
okay nitaendelea kuchimba chimba,sasa hivi naona nianze na hii AI Career Essentials Programme ni wiki sita tuu then kwenye next intake ndo niapply sasa vitu vigumu 🤣
 
Kwenye AI, malengo yako ni yapi?
 
Kwenye AI, malengo yako ni yapi?
self development na pia niweze kuitumia vizuri wakati najifunza digital skills kama hii data analytics pia napenda kutumia AI kwenye shughuli zangu binafsi kama vile kuandaa matangazo ya biashara zangu
 
Backend web development unadhan ni nyepesi ee? 😂😂😂 hao kwa ww na jinsia yako unafaa sana at least kupiga frontend.. Wanawake mnajua kupamba vitu. Huko nyuma ya mitambo sikushauri utaumia na hiv umesema huna ABC za IT.. Ihiii..
okay
 
self development,napenda kutumia AI kwenye shughuli zangu binafsi kama vile kuandaa matangazo ya biashara zangu

Kama ni matangazo tu then, digital graphic design would suit you better...

Kama wataka kusoma AI inabidi utazame katika mlengo wa kuwa expert ili ikusaidie kupiga mpunga, ni kama tu kuwa programmer.

Unaweza ukapitia hii guide hapa kujua kwa nini mtu ajikite kujua AI...

sawa hapo ni kama na buy time tuu lakini malengo nitafute digital skills moja ya kukomaa nayo mpaka niwe expert
 
Back
Top Bottom