Naombeni ushauri nataka kujifunza Data analytics Online

Asante wote kwa ushauri wenu mzuri na kunitia moyo,nimekwisha apply salesforce administrator nimeona kidogo nyepesi pia itafaa kwa aina ya laptop niliyonayo. Watu8 n.k 🙏🙏🙏
8595549C-DAC0-48B0-85BA-03E07C44CCE9.jpeg
 
Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB?

Please ushauri wenu ni muhimu sana ili niweze kufanya maamuzi kabla deadline ya ku apply na kufanya malipo ni 27/feb. Asanteni.

Kama kuna member wameshafanya hizi programs za Alx africa naombeni uzoefu wenu je nitatoboa?

Muda ninao,pc ninayo mchawi ni bando tuu ila nitajitahidi kama inawezekana.

View attachment 2905961
na mimi hao jama nimewasikia wako vizuri sana.
nikuelezee kidogo hapo kwenye data analytics na data analysis ,utofauti ni Kwamba data analysis ni tunaangalia data za past kujua hali ipoje. na data analytics tunatumia data za past kupredict future.

sasa hapo nashauri cha kwanza specify unataka ubobee kwenye nini iliuweze kupredict future yake. mfano mimi nimechagua football data analytics ,nitakuwa nafanya Kazi kwenye makampuni ya kubet, kutumia data za nyumba kupredict mechi na kupelekea kupanga odds za mechi.mfano mwingine kwenye football natumia data zilizopita kumpredict mpinzani wangu atachezaje?. sasa wewe tumiambie unaspecialize kwenye nini au malengo yako?

hapo utajifunza vitu kama kwenye data science na AI.machine learning kwa ajiri
ya kujua tabia ya kitu iliuweze kupredict. programming languege ya python na library zake zote zile lazima uzijue kamą numypy,panda etc, SQL database kwa ajiri ya data zako hizo za past iliuweze kupredict future.

knowledge ya statistics kwa maana kujua data type,scale of measurement kwenye data na statistical test etc, statistical test kama regression ujue interpretation yake.power bi au tableau kwa ajiri ya visualization of your results.

utahitaji sana uelewa wa kile utakachokuwa una kipredict. mfano mimi nimechagua football natakiwa nijue vizuri footbaall ilivyo itanisaidia kwenye kuchukua data na kuzielezea kwenye results.
 
Asante sana, lakini nimebadili nimeamua kuingia kwenye salesforce administrator
 
Unatumia laptop gani?, ALX wana tools zao ambazo zinakua ni za online so muhimu sana bando, mimi niko nafanya SE, Cohort 22 saivi.
Laptop ninayotarajia kutumia ni chrome book ya android, kwenye bando nitapambana, wasiwasi wangu upo kwenye laptop tuu ndo maana ikabidi nichange kutoka data analytics to salesforce .hiyo Soft engineering si ni ngumu sana kwa sisi wa GPA za lower second
 
Hapana kwa mtu yoyote anaweza muhimu dedication tu na hardworking, mwanzo utaona ni vigumu huvielewi ila baadae kadri unavyoendelea ndio vinazidi ku-make sense.

In reality ni kua tech field ni ngumu na inahitaji kujitoa, ukiingia mitandaoni utakutana na tech gurus kibao wanakupa matumaini fake au waliokata tamaa ambao watakukatisha na wewe tamaa, pia kuna wasiojua ambao wanajua tech ni ya vipanga tu in reality hapana, tech is about thinking and problem-solving skills ambazo luckily kila binadamu mwenye akili timamu anazo. So it is possible ukijitoa na kujipa muda upambanie unachokitaka.

Mwisho field ya tech sio get rich quick, inahitaji hardwork na discipline kuliko ulivokua unasoma huko shuleni.
 
Habari Ndungu zangu,

Natoa Training ya Data Analysis kwa kutumia

1.Python
2.R

Kwa Upande wa Python utaweza kusoma

a.Pandas
b.Numpy
c.Data Visualization kwa kutumia Matplotlibs na Seaborn

Tutatumia dataset mbalimbali kutoka vyanzo tofauti.

Duration: 3Weeks
Training Platform: Zoom

Mawasiliano:
+255622071858/+255766047800

Mwanza

Karibuni sana.
 
Hakika, japo ili uwe mtu kwenye watu lazima ujue kutumia software zenye mnymbuliko mkubwa kama SAS, R na kutumia dada collection tool za kisasa kama SurveyCTO na jamii zake
R-Programming, Python, SQL ni kozi za msingi sana kwenye safari ya kua Data analyst. Inahitaji practice sana za realworld projects. Kazi nyingi zinataka ujuzi wa hizi.
 
Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB?

Please ushauri wenu ni muhimu sana ili niweze kufanya maamuzi kabla deadline ya ku apply na kufanya malipo ni 27/feb. Asanteni.

Kama kuna member wameshafanya hizi programs za Alx africa naombeni uzoefu wenu je nitatoboa?

Muda ninao,pc ninayo mchawi ni bando tuu ila nitajitahidi kama inawezekana.

View attachment 2905961

Karibu MSc Data Science and AI at University of Liverpool

Best wishes
 
Boss kwema, naomba site kwa ajili ya kupata weather data ,za miaka, site nilizotembelea wanatoa daily data Shukran

ndio naona hii!

Site za weather sina, nilizonazo ni healthcare, finance, economics na investments.

Hata hivyo najua Dr Minerva Singh amefanya kazi kubwa kwenye climate na AI.

Best wishes mkuu
 
Back
Top Bottom