Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante wote kwa ushauri wenu mzuri na kunitia moyo,nimekwisha apply salesforce administrator nimeona kidogo nyepesi pia itafaa kwa aina ya laptop niliyonayo. Watu8 n.k 🙏🙏🙏View attachment 2917160
na mimi hao jama nimewasikia wako vizuri sana.Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB?
Please ushauri wenu ni muhimu sana ili niweze kufanya maamuzi kabla deadline ya ku apply na kufanya malipo ni 27/feb. Asanteni.
Kama kuna member wameshafanya hizi programs za Alx africa naombeni uzoefu wenu je nitatoboa?
Muda ninao,pc ninayo mchawi ni bando tuu ila nitajitahidi kama inawezekana.
View attachment 2905961
Asante sana, lakini nimebadili nimeamua kuingia kwenye salesforce administratorna mimi hao jama nimewasikia wako vizuri sana.
nikuelezee kidogo hapo kwenye data analytics na data analysis ,utofauti ni Kwamba data analysis ni tunaangalia data za past kujua hali ipoje. na data analytics tunatumia data za past kupredict future.
sasa hapo nashauri cha kwanza specify unataka ubobee kwenye nini iliuweze kupredict future yake. mfano mimi nimechagua football data analytics ,nitakuwa nafanya Kazi kwenye makampuni ya kubet, kutumia data za nyumba kupredict mechi na kupelekea kupanga odds za mechi.mfano mwingine kwenye football natumia data zilizopita kumpredict mpinzani wangu atachezaje?. sasa wewe tumiambie unaspecialize kwenye nini au malengo yako?
hapo utajifunza vitu kama kwenye data science na AI.machine learning kwa ajiri
ya kujua tabia ya kitu iliuweze kupredict. programming languege ya python na library zake zote zile lazima uzijue kamą numypy,panda etc, SQL database kwa ajiri ya data zako hizo za past iliuweze kupredict future.
knowledge ya statistics kwa maana kujua data type,scale of measurement kwenye data na statistical test etc, statistical test kama regression ujue interpretation yake.power bi au tableau kwa ajiri ya visualization of your results.
utahitaji sana uelewa wa kile utakachokuwa una kipredict. mfano mimi nimechagua football natakiwa nijue vizuri footbaall ilivyo itanisaidia kwenye kuchukua data na kuzielezea kwenye results.
Unatumia laptop gani?, ALX wana tools zao ambazo zinakua ni za online so muhimu sana bando, mimi niko nafanya SE, Cohort 22 saivi.Asante wote kwa ushauri wenu mzuri na kunitia moyo,nimekwisha apply salesforce administrator nimeona kidogo nyepesi pia itafaa kwa aina ya laptop niliyonayo. Watu8 n.k 🙏🙏🙏View attachment 2917160
Laptop ninayotarajia kutumia ni chrome book ya android, kwenye bando nitapambana, wasiwasi wangu upo kwenye laptop tuu ndo maana ikabidi nichange kutoka data analytics to salesforce .hiyo Soft engineering si ni ngumu sana kwa sisi wa GPA za lower secondUnatumia laptop gani?, ALX wana tools zao ambazo zinakua ni za online so muhimu sana bando, mimi niko nafanya SE, Cohort 22 saivi.
Hapana kwa mtu yoyote anaweza muhimu dedication tu na hardworking, mwanzo utaona ni vigumu huvielewi ila baadae kadri unavyoendelea ndio vinazidi ku-make sense.Laptop ninayotarajia kutumia ni chrome book ya android, kwenye bando nitapambana, wasiwasi wangu upo kwenye laptop tuu ndo maana ikabidi nichange kutoka data analytics to salesforce .hiyo Soft engineering si ni ngumu sana kwa sisi wa GPA za lower second
AsanteMrsPablo1
Hongera sana.
Ukiamua kurudi kwenye data analytics unaweza kupata resources nzuri sana ( kuna nyingi tu bure) toka www.datacamp.com.
Kozi nzuri ila Sasa Umri Umepita Kidogo.hawana vigezo vigumu wanachotaka uwe unajua english,uwe na laptop na strong internet connection View attachment 2906023View attachment 2906024View attachment 2906025
R-Programming, Python, SQL ni kozi za msingi sana kwenye safari ya kua Data analyst. Inahitaji practice sana za realworld projects. Kazi nyingi zinataka ujuzi wa hizi.Hakika, japo ili uwe mtu kwenye watu lazima ujue kutumia software zenye mnymbuliko mkubwa kama SAS, R na kutumia dada collection tool za kisasa kama SurveyCTO na jamii zake
Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB?
Please ushauri wenu ni muhimu sana ili niweze kufanya maamuzi kabla deadline ya ku apply na kufanya malipo ni 27/feb. Asanteni.
Kama kuna member wameshafanya hizi programs za Alx africa naombeni uzoefu wenu je nitatoboa?
Muda ninao,pc ninayo mchawi ni bando tuu ila nitajitahidi kama inawezekana.
View attachment 2905961
Boss kwema, naomba site kwa ajili ya kupata weather data ,za miaka, site nilizotembelea wanatoa daily data Shukran
Boss kwema, naomba site kwa ajili ya kupata weather data ,za miaka, site nilizotembelea wanatoa daily data Shukran