the_pythonman2016
Member
- Jun 10, 2024
- 16
- 6
Pamoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hello guys,
I am here to celebrate 🎉 with you guys hatimaye nimemaliza na kuwa 2x certified.. Nawashukuru wote mliochangia kwenye huu uzi na kunitia moyo. Hakika nimeweza.
Watu8 ushauri wako ulinisaidia sana kufanya maamuzi ya haraka hakika sikuwa na sababu ya kusubiri. Asante 🙏.View attachment 3122031
Nipe kazi Boss, nimesoma Salesforce administrator.Umesoma nini hasa ili tukupe kazi ujitest?
Hongera na uliwezaje na Chrome book Pc?? Labda sijaelewa, chrome book sio zile computer cheap ambazo Zina built in storage??Hello guys,
I am here to celebrate 🎉 with you guys hatimaye nimemaliza na kuwa 2x certified.. Nawashukuru wote mliochangia kwenye huu uzi na kunitia moyo. Hakika nimeweza.
Watu8 ushauri wako ulinisaidia sana kufanya maamuzi ya haraka hakika sikuwa na sababu ya kusubiri. Asante 🙏.View attachment 3122031
yes mkuu upo sahihi kabisa na hili nilikuja kugundua baadae na uwezo wa kununua pc sina so nilichofanya nibahatika kupata mtu ambaye alikuwa na pc mbili nikawa naazima pc yake moja ya window. Ilibidi nibadili mpango wangu wa kusoma data analytics baada ya kugundua laptop niliyonayo haitafaa .Hongera na uliwezaje na Chrome book Pc?? Labda sijaelewa, chrome book sio zile computer cheap ambazo Zina built in storage??
Pole Sana na hongera kwa kutimiza lengo lako...yes mkuu upo sahihi kabisa na hili nilikuja kugundua baadae na uwezo wa kununua pc sina so nilichofanya nibahatika kupata mtu ambaye alikuwa na pc mbili nikawa naazima pc yake moja ya window. Ilibidi nibadili mpango wangu wa kusoma data analytics baada ya kugundua laptop niliyonayo haitafaa .
kaka unaweza kunipa road map na jinsi ya kusoma cybersecurity?Kama uko vizuri chukua cyber security, more prosperity.
Ukihitaji guidance, am here to give you pen to study
Sio kila mtu ana passion ya kilimo au ufugajiKwanini usijifunze kilimo cha maparachichi na ufugaji wa kuku navona vitakusaidia zaidi kwa mazingira ya hapa Tanzania
sure, usianze na makubwa kama reversed engineering n.kkaka unaweza kunipa road map na jinsi ya kusoma cybersecurity?
Sio ukisikia mtu amesoma course fulan ukadhani Hana msingi wengine ni Hali tu ya maisha bro.Mfano hapa nimesoma PCB nkapat na credit nmeshindwa ada za course za science nmepelekwa certificate ya ialimu wa msingi huko.Procurement akasome Cyber wapi na wapi na ukute hana hata Computer basic skill zaidi ya Ms Office ya 2007..We zombie HAUJUII balaa lake
Kaka, nichek.Kwanza hongera kwa kupambana ila nina cha kuongezea hapo,kwa kawaida tunapohitaji kujifunza jambo jipya tunategemea return on investment,nimeona una passion ya kujifunza ila nimejaribu kufanya utafiti mdogo nikagundua yafuatayo data science,data analytics,data engineering are in high demand soft skills ila ndani yake kuna viskills ambavyo ukimaster ukaondoa mindset ya vyeti itakulipa vizuri sana.
N.B: Data mining,data scraping,web scraping fanya utafiti mdogo katika platform za upwork na fiverr uone watu wanavyopiga pesa alafu rudi nikupe tips za beginers.
Mkuu tunakuomba sana uje utupatie hizo tips hapa jukwaani, maana wengine sio waandishi wazuri ila mawazo yanaendana, karibu, sawasawa na mtoa mada.Kwanza hongera kwa kupambana ila nina cha kuongezea hapo,kwa kawaida tunapohitaji kujifunza jambo jipya tunategemea return on investment,nimeona una passion ya kujifunza ila nimejaribu kufanya utafiti mdogo nikagundua yafuatayo data science,data analytics,data engineering are in high demand soft skills ila ndani yake kuna viskills ambavyo ukimaster ukaondoa mindset ya vyeti itakulipa vizuri sana.
N.B: Data mining,data scraping,web scraping fanya utafiti mdogo katika platform za upwork na fiverr uone watu wanavyopiga pesa alafu rudi nikupe tips za beginers.
SureMkuu tunakuomba sana uje utupatie hizo tips hapa jukwaani, maana wengine sio waandishi wazuri ila mawazo yanaendana, karibu, sawasawa na mtoa mada.
Na utakayoyaandika hapa sio tu kuwa yatafika mbali na kuwasadia wengi bali yataishi miaka na mikaka.
Asante ila nime focus kwenye salesforce upskilling zaidi. kwenye upwork naomba tuu unisaidie nipate connect maana za kununua siweziKwanza hongera kwa kupambana ila nina cha kuongezea hapo,kwa kawaida tunapohitaji kujifunza jambo jipya tunategemea return on investment,nimeona una passion ya kujifunza ila nimejaribu kufanya utafiti mdogo nikagundua yafuatayo data science,data analytics,data engineering are in high demand soft skills ila ndani yake kuna viskills ambavyo ukimaster ukaondoa mindset ya vyeti itakulipa vizuri sana.
N.B: Data mining,data scraping,web scraping fanya utafiti mdogo katika platform za upwork na fiverr uone watu wanavyopiga pesa alafu rudi nikupe tips za beginers.