Naombeni ushauri nataka kujifunza Data analytics Online

Hello guys,

I am here to celebrate 🎉 with you guys hatimaye nimemaliza na kuwa 2x certified.. Nawashukuru wote mliochangia kwenye huu uzi na kunitia moyo. Hakika nimeweza.
Watu8 ushauri wako ulinisaidia sana kufanya maamuzi ya haraka hakika sikuwa na sababu ya kusubiri. Asante 🙏.
IMG_8040.jpeg
 
Hello guys,

I am here to celebrate 🎉 with you guys hatimaye nimemaliza na kuwa 2x certified.. Nawashukuru wote mliochangia kwenye huu uzi na kunitia moyo. Hakika nimeweza.
Watu8 ushauri wako ulinisaidia sana kufanya maamuzi ya haraka hakika sikuwa na sababu ya kusubiri. Asante 🙏.View attachment 3122031

Here to celebrate with you MrsPablo1...

Hakika penye nia pana njia, congrats!
 
Umesoma nini hasa ili tukupe kazi ujitest?
Nipe kazi Boss, nimesoma Salesforce administrator.

Salesforce is a cloud-based customer relationship management (CRM) platform that helps businesses and organizations manage their interactions with customers and clients. It provides tools for sales, customer service, marketing, and more, all in one place. Companies use Salesforce to track customer data, automate business processes, manage sales pipelines, and provide better customer service.

Salesforce is highly customizable, with different products tailored for specific industries, such as Nonprofit Cloud for nonprofits, Sales Cloud for sales teams, and Service Cloud for customer service.
 
Hello guys,

I am here to celebrate 🎉 with you guys hatimaye nimemaliza na kuwa 2x certified.. Nawashukuru wote mliochangia kwenye huu uzi na kunitia moyo. Hakika nimeweza.
Watu8 ushauri wako ulinisaidia sana kufanya maamuzi ya haraka hakika sikuwa na sababu ya kusubiri. Asante 🙏.View attachment 3122031
Hongera na uliwezaje na Chrome book Pc?? Labda sijaelewa, chrome book sio zile computer cheap ambazo Zina built in storage??
 
yes mkuu upo sahihi kabisa na hili nilikuja kugundua baadae na uwezo wa kununua pc sina so nilichofanya nibahatika kupata mtu ambaye alikuwa na pc mbili nikawa naazima pc yake moja ya window. Ilibidi nibadili mpango wangu wa kusoma data analytics baada ya kugundua laptop niliyonayo haitafaa .
 
Pole Sana na hongera kwa kutimiza lengo lako...
 
kaka unaweza kunipa road map na jinsi ya kusoma cybersecurity?
sure, usianze na makubwa kama reversed engineering n.k
anza na
1. programing language ujue basics html, javascript na python au php, na SQL moja eg mysql sio lazima ufike expert level ila ukipitia zote unaweza soma language yoyote ukaelewa hiyo code ina function gan.
2. learn basic networking, understand IP address, domain, protocals nk
3. put together on how internet works
4. learn web technology and how it work
5. soma kitabu kinaitwa "The web development hackers' handbook"
6. from that book utajifunza pia proxy app like Burp Suite au Caido nk, nzuri zaidi ni Burp suite kwa upande wangu
7. kuanzia hapa utakua ushapata picha ya mambo muhimu kama authentication, acesss control, injection logic flaw n.k waweza endeleza kwenye Portswiger academy, tryhackme au hackthebox
8. Practice ujuzi wako kwenye bug bounts pratforms kama bugcrowd, hackerone, yeswehack, synacks red team, yogosha, intigrit etcetra

kazi kwako mkuu, am here to help more
 
Procurement akasome Cyber wapi na wapi na ukute hana hata Computer basic skill zaidi ya Ms Office ya 2007..We zombie HAUJUII balaa lake
Sio ukisikia mtu amesoma course fulan ukadhani Hana msingi wengine ni Hali tu ya maisha bro.Mfano hapa nimesoma PCB nkapat na credit nmeshindwa ada za course za science nmepelekwa certificate ya ialimu wa msingi huko.
 
Kwanza hongera kwa kupambana ila nina cha kuongezea hapo,kwa kawaida tunapohitaji kujifunza jambo jipya tunategemea return on investment,nimeona una passion ya kujifunza ila nimejaribu kufanya utafiti mdogo nikagundua yafuatayo data science,data analytics,data engineering are in high demand soft skills ila ndani yake kuna viskills ambavyo ukimaster ukaondoa mindset ya vyeti itakulipa vizuri sana.
N.B: Data mining,data scraping,web scraping fanya utafiti mdogo katika platform za upwork na fiverr uone watu wanavyopiga pesa alafu rudi nikupe tips za beginers.
 
Kaka, nichek.
 
Mkuu tunakuomba sana uje utupatie hizo tips hapa jukwaani, maana wengine sio waandishi wazuri ila mawazo yanaendana, karibu, sawasawa na mtoa mada.

Na utakayoyaandika hapa sio tu kuwa yatafika mbali na kuwasadia wengi bali yataishi miaka na mikaka.
 
Sure
 
Kwanza hongera kwa kupambana ila nina cha kuongezea hapo,kwa kawaida tunapohitaji kujifunza jambo jipya tunategemea return on investment,nimeona una passion ya kujifunza ila nimejaribu kufanya utafiti mdogo nikagundua yafuatayo data science,data analytics,data engineering are in high demand soft skills ila ndani yake kuna viskills ambavyo ukimaster ukaondoa mindset ya vyeti itakulipa vizuri sana.
N.B: Data mining,data scraping,web scraping fanya utafiti mdogo katika platform za upwork na fiverr uone watu wanavyopiga pesa alafu rudi nikupe tips za beginers.
Asante ila nime focus kwenye salesforce upskilling zaidi. kwenye upwork naomba tuu unisaidie nipate connect maana za kununua siwezi
 
Back
Top Bottom