Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

Habari ndugu zangu. Naombeni ushauri wenu juu ya mada tajwa.

Mzee wetu amefariki miezi 8 iliyopita baada ya maisha yake yote kuwa katika ndoa na mama yetu. Mama Sasa ana umri wa miaka 68. Kwa kipindi chote tangu sisi watoto wake tuanze kujitegemea tumekuwa tukijitahidi kuwawekea mazingira mazuri ya wazee wetu. Pamoja na kuwajengea nyu
Daah hatari
 
Ni rahisi sana kuchangia, na kushauri omba usikutane na kadhia ya mzazi asiye na busara mbele ya watotinwake, inaumiza sana, utaanza kufikiria toka mbali labda ili zee.lilikuwa linamuibia baba.siku nyingi, sasa kama kuoa kwa.nini.asiwe.resposible.kumbeba mke.wake kumpeleka kwake au kumpangishia.nyumba? Hata hivyo kuna.baadhi ya makabila mwanamke huwa hakubali kuzeeka
Mfano kabira gani hilo
 
Pole kwa changamoto ila kiuhalisia mama anahitaji mtu wa kumpa kampani
Tatizo ni kwamba huyo mzee anataka ahamie kwenu hili ndio linakupa ukakasi
Mama yako ndio anae olewa so ni vema akaenda kwa mumewe na sio yeye kumleta senior marioo hapo kwenye mji wa family yenu
Hii kweli kabisa
 
pole mkuu sisi katika UISLAM mtoto wa kiume tunaruhusiwa hata kuozesha MAMAAKO

ni kweli kwa umri wake na ukizingatia mumewe amefariki muda si mrefu ilipaswa apumzike

lkn wewe inaonesha wasiwasi wako sio mama ni umasikini wa huyo mzee

nikuulize angetokea mtu mwenye pesa na kujiweza mwenye magari majumba na biashara zake je ungekubari aolewe ?
Happy najua angelinda heshima ya mzee. Wangeondoka kwenye mji wa mzee

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mama Kuolewa hilo huwezi kuzuia kama wengi wanavyo sema, ila kuolewa halafu aendelee kuishi na huyo mwanaume hapo nyumbani hilo linaleta ukakasi kwa kweli. Mwanaume aoe aende naye kwake na sio yeye ahamie hapo nyumbani hilo hapana.
Eee hapo sawa
 
mfano kabira gani hilo
Sijataja na siwezi kutaja ila nimeshuhudia bint, mama, bibi wote wanagombania mabwana, bibi ukimwangalia umri.wake.huwezi kuamini kwamba anaweza kufikiria mambo hayo ila .....?
 
Kuolewa ruhusa ila huyo mume asihamie kwenye hiyo nyumba ya familia yenu, bali wakaishi wote nyumbani kwa huyo mume
Kwahiyo shamte wa mama diamond kamchukua mama diamond kwenye nyumba yake?

Au anaishi kwa mama diamond??

Mtoa maada akijibu hapa basi atapata majibu
 
Habari ndugu zangu. Naombeni ushauri wenu juu ya mada tajwa.

Mzee wetu amefariki miezi 8 iliyopita baada ya maisha yake yote kuwa katika ndoa na mama yetu. Mama Sasa ana umri wa miaka 68. Kwa kipindi chote tangu sisi watoto wake tuanze kujitegemea tumekuwa tukijitahidi kuwawekea mazingira mazuri ya wazee wetu. Pamoja na kuwajengea nyumba
Hilo huliwezi kama wewe ni muislamu. Mtume anasemaje katika hilo?...jibu liko hapo.

Kama ni Mkristo, mwambie point blank kuwa kuolewa baada ya baba kufa ni umalaya! Haimpi heshima. Mwambie waziwazi!
 
hiyo kitu inauma sana mzee
cha kufanya ww mwambie live hamn kuleta mtu hapo nyumban
akileta za kuleta ni kukata huduma tu
 
Back
Top Bottom