Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kisa cha kujikalia tu kwamba? Huo umri its not about dudu tena, muache apate wa kufarijiana nae.Yaan na huo uzee si ajikalie tu wamama wa kiswahili wanapenda dudu khaaa
Huo umri wa kukaa na wajukuu 😂😂😂Na kisa cha kujikalia tu kwamba? Huo umri its not about dudu tena, muache apate wa kufarijiana nae.
Basi muache mama apunguziwe nyege na mzee mwenzake, ameona hataki kuzini ndo maana kamua aolewe mazima.Wala siishi nyumbani, niko mbali na huko na nina maisha yangu.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Akiolewa akaishi kwa huyo mwanaume na siyo huyo mwanaume anayemuoa aje kuishi hapo.Hautakuwa sahihi kuingilia hiyo hali mkuu,vipi kama mama angefariki yeye na mzee akaleta mama mwingine hapo ndani,nayo ungefanyaje...?
Sasa bi mkubwa miaka 68 anaolewa ili iweje mbona umri aliobaki nao ni wa kupumzika sio wa kujitia stress tena za ndoaHabari ndugu zangu. Naombeni ushauri wenu juu ya mada tajwa.
Mzee wetu amefariki miezi 8 iliyopita baada ya maisha yake yote kuwa katika ndoa na mama yetu. Mama Sasa ana umri wa miaka 68. Kwa kipindi
Aje ili iweje? Hajakatazwa kuoa, aoe ila ampeleke kwake. Hatutaki wazee miserereko hapa.kuna mchanganyiko wa hisia hapo,lakini kikubwa ni utamaduni wetu wa kuona kifo na mapenzi ni vitu vya ajabu sana
tangu tunakuzwa tunaaminishwa mapenzi ni ujinga wakati ndio yanarun dunia
mwache mama aolewe,endelea kuwajibika kwa nafasi yako kwa mzazi wako mambo yake ya mapenzi mwachie yeye mwenyewe kama unapenda aendelee kuishi muda mrefu uendelee kuenjoy uwepo wake
watu huwa wanamuona diamond mjinga lakini katika suala la mama yake amefanya vizuri sana
kuliko kumuacha awe anatangatanga heri aolewe kama anahisi bado anao huo uwezo wa kuwajibikia ndoa,huyo mzee mwache aje hapo wewe endelea na kazi zako ukikumbuka amri ya nne ya Mungu
Ni kama zilipendwa vile maana sio rahisi kukubali Maisha na mtu ambae hukumzoea sio rahisi kwa muda mfupi hivyoWakati watu wengine wakiendelea kukushauri...
Mimi najaribu tu kufikiri miezi 8 ya mwanamke wa miaka 68 kuondokewa na mume, tayari yupo kwenye harakati za kupata kifaa kipya 🤔🤔...
Miaka 68, miezi 8 ya ujane, kifaa kipya 😇😇...mmmh!!! hawa kama walikuwa hawakulani wakiwa vijana, usikute mzee wako kalazwa na wakulungwa ili watu waje kula pesa za watoto 🥴🥴
Sound sio ya kitoto, hadi mama wa 68 kaingia kwenye mtegoDuh, huyo mzee inaonekana ndio waleeee ganda la ndizi tangu ujana wake, afu' anajua sound kinoma kampigisha bi mkubwa kaingia line woiii... in short huyo babu ana mipango yake hapo...
Hahaha..mseserekoAje ili iweje? Hajakatazwa kuoa, aoe ila ampeleke kwake. Hatutaki wazee miserereko hapa.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Habari ndugu zangu. Naombeni ushauri wenu juu ya mada tajwa.
Mzee wetu amefariki miezi 8 iliyopita baada ya maisha yake yote kuwa katika ndoa na mama yetu. Mama Sasa ana umri wa miaka 68. Kwa kipindi chote tangu sisi watoto wake tuanze kujitegemea tumekuwa tukijitahidi kuwawekea mazingira mazuri ya wazee wetu. Pamoja na kuwajengea
Hawa wazee wa namna hii huwa hawana huruma, miezi nane anajiamini nini mpaka aoe mjane? More enough anataka akae kwa mwanamke?? Ukute ana watoto huyo mzee, huoni baadaye anaweza kuleta mambo ya kichawi na hata kukumbatia mali? Hajawaona wengine? Kwanza anapataje ujasiri wa kuoa mwanamke mwenye miaka 68?Hahaha..msesereko
Nimekumbuka tukio moja
Ova
Naomba ku with draw my statement mkuukwa hiyo ni wazaramo km alivyosema hapo jamaa
Sisi wazaramo hatuna mambo hayo hiyo ni hulka ya mtu
ni kama kusema wahaya ni malaya
kisa maeneo kongwe ya madanguro wapo wao mpk kuitwa kwa wahaya
Wajukuu wakae na baba na mama zao walelewe vyema. Likizo wakawatembelee bibi na babu.Huo umri wa kukaa na wajukuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Baba yako angekuwa hai ungewatunza wote?Habari ndugu zangu. Naombeni ushauri wenu juu ya mada tajwa.
Mzee wetu amefariki miezi 8 iliyopita baada ya maisha yake yote kuwa katika ndoa na mama yetu. Mama Sasa ana umri wa miaka 68. Kwa kipindi chote tangu sisi watoto wake tuanze kujitegemea tumekuwa tukijitahidi kuwawekea mazingira mazuri ya wazee wetu. Pamoja na kuwajengea nyumba yenye hadhi na ya kisasa lakini tumehakikisha wazee wetu wanaishi maisha standard kuanzia chakula na mahitaji yote kiasi kwamba familia ya
Hamu hazijaisha sema hujapata wa kukupa rahaMie Nina 53 hamu zilishaisha ye 68 anatafuta nini MUNGU wangu!
Just to confirm:Juzi ndugu zangu waliopo kijijni wamenitaarifu kwamba kajitokeza mzee anasema anataka kumuoa bi mkubwa. Nikauliza akishamuoa ataondokanae kwa maana bi mkubwa atahama mji tuliomjengea na mzee? Wakaniambia hapana inavyoonyesha huyu mzee kafuata maisha mseleleko