Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha nimependa mno hiiHata Physical father unasukumilia mbali...
Awe baba yangu au asiwe, nafukuzia mbali. Hatutaki wanamiserereko.Ushauri wako ni mzuri wa kukataa kumhudumia akiwa na huyo baba ako wa kambo.
Lakini muulize mama yako kwa nini anataka kuolewa.
Then muulize kama bado anafanya mapenzi, inawezekana huyo baba ako kisha mla sana hadi sasa wanataka kuoana. Usimnyime haki yale ambayo huwezi kumpa. Mkumbuke Graca Machel na Mandela walioana wakiwa watu wazima sana.
Wewe endelea kumhudumia mama yako na huyo baba ako mwache amkaze mama yako, mama yako amepata mkunaji wa vipele, je una dada wa kumhudumia mama yako, kama huna mwache huyo man amhudumie.
Hiyo amount ya pesa usione ni shida kumpa mama yako.
Acha wivu inawezekana huyo baba naye kafiwa na mke lazima wasaidiane mambo ya sirini ambayo watoto hamwezi
DadeqHautakuwa sahihi kuingilia hiyo hali mkuu,vipi kama mama angefariki yeye na mzee akaleta mama mwingine hapo ndani,nayo ungefanyaje...?
SafiHaiwezekani mtu kanilea miaka yote halafu nije kuambiwa sio mzee wangu aiseee!
Nitamshukuru huyo biological father kwa kunileta kwenye familia ya huyu mzee halafu nitamfukuzilia mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes!Ningekuwa mimi ningeamua kama wewe unavyotaka kuamua. Watafute nyumba nyingine wakaishi yeye na mume wake. Vinginevyo mzee achakarike kutafuta mahitaji ya familia yake.
Senior marioo 😂😂🙌Pole kwa changamoto ila kiuhalisia mama anahitaji mtu wa kumpa kampani
Tatizo ni kwamba huyo mzee anataka ahamie kwenu hili ndio linakupa ukakasi
Mama yako ndio anae olewa so ni vema akaenda kwa mumewe na sio yeye kumleta senior marioo hapo kwenye mji wa family yenu
HahahHawa wazee wa namna hii huwa hawana huruma, miezi nane anajiamini nini mpaka aoe mjane? More enough anataka akae kwa mwanamke?? Ukute ana watoto huyo mzee, huoni baadaye anaweza kuleta mambo ya kichawi na hata kukumbatia mali? Hajawaona wengine? Kwanza anapataje ujasiri wa kuoa mwanamke mwenye miaka 68?
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
We pumbavu ukome! Utalaanika kuwaza tu kuandika hivi ushalaanika 20% acha kabisa ujinga! Mwache aolewe kisheria aakishaolewa anachapa lapa! Afu mbona unaa wivi mbaya sana we mtoto dah....Habari ndugu zangu. Naombeni ushauri wenu juu ya mada tajwa.
Mzee wetu amefariki miezi 8 iliyopita baada ya maisha yake yote kuwa katika ndoa na mama yetu. Mama Sasa ana umri wa miaka 68. Kwa kipindi chote tangu sisi watoto wake tuanze kujitegemea tumekuwa tukijitahidi kuwawekea mazingira mazuri ya wazee wetu. Pamoja na kuwajengea nyumba yenye hadhi na ya kisasa lakini tumehakikisha wazee wetu wanaishi maisha standard kuanzia chakula na mahitaji yote kiasi kwamba familia ya mzee wetu imetazamwa kama familia yenye nafuu pale kijijini.
Juzi ndugu zangu waliopo kijijni wamenitaarifu kwamba kajitokeza mzee anasema anataka kumuoa bi mkubwa. Nikauliza akishamuoa ataondokanae kwa maana bi mkubwa atahama mji tuliomjengea na mzee? Wakaniambia hapana inavyoonyesha huyu mzee kafuata maisha mseleleko.
Binafsi nimejiuliza je ni sahihi mama alete mwanaume kwenye kitanda alicholala na mzee wetu? Je ni kweli nyumba tuliowajengea wazee wetu mama atumie kuishi na mzee mwingine? Alifanyalo mama sio kutufedhehesha sisi watoto tunaohakikisha anapatiwa chochote akitakacho?
Uamuzi wangu nimepanga kuvuruga mpango wa bi mkubwa. Nataka nimwite nimuombe nije niishi nae mjini kwa maisha yake yote ili nizuie mipango yake na akikataa nimepanga sitomuhudumia chochote maana Mimi ndie mwanawe mpendwa.
Je ndugu uamuzi wangu huu nitakuwa namkosea mama yangu? Au nimwachie tu ahangaike na maisha yake? Kinachoumiza mzee muoaji mwenyewe kachoka mno hata ndala anazovaa ukute zina matundu nusu anagusa ardhi nusu malapa. Naona kama bi mkubwa atatuongezea mzigo wa kuangalia watu wawili kwa maana akibaki mwenyewe inakuwa rahisi hata kumchukua wakati wowote. Ushauri wenu
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Umalaya tu hakuna kingineWe pumbavu ukome! Utalaanika kuwaza tu kuandika hivi ushalaanika 20% acha kabisa ujinga! Mwache aolewe kisheria aakishaolewa anachapa lapa! Afu mbona unaa wivi mbaya sana we mtoto dah....
Daaah yaani huyo mama alikuwa anataka am rest ishe mumewe akishirikiana na danga lake la kibongo?Hahah
Kuna familia tJiri waarabu bongo hapa(jina kapuni)mama yao alikuwa mbongo
Kuna wakati mama yao aliwambia watoto wake ana mzee mtu wake wanataka kufanya yao
Ah wale watoto walimtuliza yule mzee kimjinimjini,mzee alikimbiliaa mbali huko[emoji23]
Ova
Upuuzi tuSio sahihi hasa kama mama anaishi peke yake.Kwa umri wake anahitaji kampani kama ya wajukuu n.k.Uamuzi wa kumleta mjini ni mzuri ila hakikisha anaridhia yeye.Yote ni yote sioni shida Nyinyi kupata BABA mpya.Labda ulikuwa MCHEPUKO wake wa MUDA mrefu.SIku ingine acha kumfedhehesha mama yako mitandaoni.Kwani akitaka kuoa au kuolewa shida yako ni nini?
Huo umri bado wazee wanaokula vizuri wanazo hisia kali tu za mapenzi angalau hata mara moja au mbili kwa mwezi. Tafuta namna ya kumsapoti mama apate kitulizo. Ila ni muhimu akaenda kuishi kwa huyo mume mpyaKwangu namuona kama umri umesogea mno si wakuhangaika na mambo ya ndoa.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Au wewe ndio huyo mama? Hajakatazwa kuolewa, aolewe aende kwa mume wake.We pumbavu ukome! Utalaanika kuwaza tu kuandika hivi ushalaanika 20% acha kabisa ujinga! Mwache aolewe kisheria aakishaolewa anachapa lapa! Afu mbona unaa wivi mbaya sana we mtoto dah....
Aje ili iweje? Hajakatazwa kuoa, aoe ila ampeleke kwake. Hatutaki wazee miserereko hapa.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Angekua Ni mtu wa imaniHuo umri bado wazee wanaokula vizuri wanazo hisia kali tu za mapenzi angalau hata mara moja au mbili kwa mwezi. Tafuta namna ya kumsapoti mama apate kitulizo. Ila ni muhimu akaenda kuishi kwa huyo mume mpya