Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
Kwa mila zetu za kiafrika, hairuhusiwi mama kuleta mwanaume aolewe naye ndani ya nyumba kama hiyo, anapaswa kuondoka kwenda kuanza maisha mengine na mwanaume huyo kama ataamua kuolewa naye. na ninaamini hii ilikuwa kuepusha vurugu za baade hasa mirathi, kwa mfano mama katangulia mbele ya haki, huyo baba mpya atakua na haki gani?!?Hautakuwa sahihi kuingilia hiyo hali mkuu,vipi kama mama angefariki yeye na mzee akaleta mama mwingine hapo ndani,nayo ungefanyaje...?