Naombeni ushauri: Nataka kumzuia mama yangu asiolewe tena baada ya baba kufariki

Daah hatari
 
Mfano kabira gani hilo
 
Hii kweli kabisa
 
Happy najua angelinda heshima ya mzee. Wangeondoka kwenye mji wa mzee

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mama Kuolewa hilo huwezi kuzuia kama wengi wanavyo sema, ila kuolewa halafu aendelee kuishi na huyo mwanaume hapo nyumbani hilo linaleta ukakasi kwa kweli. Mwanaume aoe aende naye kwake na sio yeye ahamie hapo nyumbani hilo hapana.
Eee hapo sawa
 
mfano kabira gani hilo
Sijataja na siwezi kutaja ila nimeshuhudia bint, mama, bibi wote wanagombania mabwana, bibi ukimwangalia umri.wake.huwezi kuamini kwamba anaweza kufikiria mambo hayo ila .....?
 
Kuolewa ruhusa ila huyo mume asihamie kwenye hiyo nyumba ya familia yenu, bali wakaishi wote nyumbani kwa huyo mume
Kwahiyo shamte wa mama diamond kamchukua mama diamond kwenye nyumba yake?

Au anaishi kwa mama diamond??

Mtoa maada akijibu hapa basi atapata majibu
 
Hilo huliwezi kama wewe ni muislamu. Mtume anasemaje katika hilo?...jibu liko hapo.

Kama ni Mkristo, mwambie point blank kuwa kuolewa baada ya baba kufa ni umalaya! Haimpi heshima. Mwambie waziwazi!
 
hiyo kitu inauma sana mzee
cha kufanya ww mwambie live hamn kuleta mtu hapo nyumban
akileta za kuleta ni kukata huduma tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…