Naombeni ushauri ndugu zangu, seriously kabisa. Kuna sauti kila siku haiishi kuniambia kuwa mke niliye nae sio!

Kiongozi, hiko kichwa kina ubongo unaofanya kazi? Kuwa mwanaume hakukufanyi uwe kichwa tu kwenye familia....Kuna vichwa vingi vya familia, familia haina chakula, ada za shule zinahitajika; baba pesa yote amemaliza baa.
That's what I think....sijamuelezea mtoa mada kuwa sio kichwa bora cha familia.
Niko vema tu, majaaliwa yoyote lazima familia ifaidike.
 
Kosea vitu vyote, lakini, usikosee kuoa.

Ushauri wangu kwako :
Kwakuwa tayari umeshamuoa na nafsi yako inakwambia umeingia chaka, kilichobakia huwezi kumwacha, maana ukimwacha utakuwa unatenda dhambi.

Cha kufanya, jifunze na jizoeze "kukubaliana kutokubaliana".
Nimepokea
 
Usijekuwa unanyemelewa na Schizophrenia mkuu, hilo lisauti linalopaza ndani yako kiasi cha kukuvuruga hivyo si hali ya kawaida! Kuna watu wamefanya maamuzi ya ajabu kwa sababu ya sauti kama hizo!
Sawa kiongozi
 
Kila kitu kipo ( mfano sauti unayosikia ) na kina sababu ya chenyewe kuwepo hapo kilipo ( unapoisikia kwenye masikio yako ). Fanya haya hakika yataksaidia kujua nakuelewa kila unachosikia. Tafuta Diary na uwe unaweka rekodi kama za wagonjwa au mgojwa pili aendapo kutibiwa. Mfano utakaposikia hiyo sauti rekodi siku na tarehe na saa pia uliyoisiki, na pembeni yake pia weka rekodi ya huo muda uliposikia hiyo sauti mke alikuwa katika mazingra gani... ni jambo dogo nalakijinga ila madaktari ndio wamefaulu katika kutibu wagonjwa sugu na matatizo yao
 
Ni mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu sahihi.....nimepotea.

Kila nikijaribu kuipotezea sauti hii huwa inajiongeza hadi kufikia kuniamsha usingizini wakati mwingine.

Tuna viutofauti kadhaa, ndiyo, lakini mimi mwenyewe sijawahi kuvifanya kuwa hoja sana (kuvifikiria kupitiliza kiasi cha kupata hisia hizi hasi.....naona ni vitu vya kurekebishika vikidanyiwa kazi ipasavyo). Baadhi ya viutofauti gtetu ni hv hapa;

1. Kupenda kuvaa madera (mi si mfuasi wa madera),

2. Kulalamika lalamika ( sipendi makelele makelele miki),

3. Kuzoeana sana na mama yake,

4. Majibu ya jazba yanayopelekea ugomvi kati yetu,

5. Uchapakazi hafifu (si mwenye kuweza kulima ipasavyo),

6. Ucheshi unaompelekea kuzoeleka kirahisi (hii changamoto nayo wakati mwingine).

Uamuzi bora ni upi hapa wa kuchukua wadau?!!!

Sauti inaongezeka siku baada ya siku na hali ndo kama hivyo.
Unataka nini zaidi Mungu kakupa kipawa kikubwa na hio sauti ukiipuza utakufa soon, chukua hatua sauti haipuzwi
 
Ni mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu sahihi.....nimepotea.

Kila nikijaribu kuipotezea sauti hii huwa inajiongeza hadi kufikia kuniamsha usingizini wakati mwingine.

Tuna viutofauti kadhaa, ndiyo, lakini mimi mwenyewe sijawahi kuvifanya kuwa hoja sana (kuvifikiria kupitiliza kiasi cha kupata hisia hizi hasi.....naona ni vitu vya kurekebishika vikidanyiwa kazi ipasavyo). Baadhi ya viutofauti gtetu ni hv hapa;

1. Kupenda kuvaa madera (mi si mfuasi wa madera),

2. Kulalamika lalamika ( sipendi makelele makelele miki),

3. Kuzoeana sana na mama yake,

4. Majibu ya jazba yanayopelekea ugomvi kati yetu,

5. Uchapakazi hafifu (si mwenye kuweza kulima ipasavyo),

6. Ucheshi unaompelekea kuzoeleka kirahisi (hii changamoto nayo wakati mwingine).

Uamuzi bora ni upi hapa wa kuchukua wadau?!!!

Sauti inaongezeka siku baada ya siku na hali ndo kama hivyo.
Muache kabla hamjaongeza watoto zaidi
 
Bora upate mwanamke dizain hii kuliko upate yule mkimya atakupiga matukio mpaka uchanganyikiwe kabisa
 
Hiyo sauti si ya Mungu maana Mungu hataki watu waachane hasa sababu ikiwa si ya uzinzi
 
Back
Top Bottom