Niko vema tu, majaaliwa yoyote lazima familia ifaidike.Kiongozi, hiko kichwa kina ubongo unaofanya kazi? Kuwa mwanaume hakukufanyi uwe kichwa tu kwenye familia....Kuna vichwa vingi vya familia, familia haina chakula, ada za shule zinahitajika; baba pesa yote amemaliza baa.
That's what I think....sijamuelezea mtoa mada kuwa sio kichwa bora cha familia.
NimepokeaKosea vitu vyote, lakini, usikosee kuoa.
Ushauri wangu kwako :
Kwakuwa tayari umeshamuoa na nafsi yako inakwambia umeingia chaka, kilichobakia huwezi kumwacha, maana ukimwacha utakuwa unatenda dhambi.
Cha kufanya, jifunze na jizoeze "kukubaliana kutokubaliana".
Tatizo hiloWee mtoto kwa mama hakui,tuacheni tudeke
Sawa kiongoziUsijekuwa unanyemelewa na Schizophrenia mkuu, hilo lisauti linalopaza ndani yako kiasi cha kukuvuruga hivyo si hali ya kawaida! Kuna watu wamefanya maamuzi ya ajabu kwa sababu ya sauti kama hizo!
Unataka nini zaidi Mungu kakupa kipawa kikubwa na hio sauti ukiipuza utakufa soon, chukua hatua sauti haipuzwiNi mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu sahihi.....nimepotea.
Kila nikijaribu kuipotezea sauti hii huwa inajiongeza hadi kufikia kuniamsha usingizini wakati mwingine.
Tuna viutofauti kadhaa, ndiyo, lakini mimi mwenyewe sijawahi kuvifanya kuwa hoja sana (kuvifikiria kupitiliza kiasi cha kupata hisia hizi hasi.....naona ni vitu vya kurekebishika vikidanyiwa kazi ipasavyo). Baadhi ya viutofauti gtetu ni hv hapa;
1. Kupenda kuvaa madera (mi si mfuasi wa madera),
2. Kulalamika lalamika ( sipendi makelele makelele miki),
3. Kuzoeana sana na mama yake,
4. Majibu ya jazba yanayopelekea ugomvi kati yetu,
5. Uchapakazi hafifu (si mwenye kuweza kulima ipasavyo),
6. Ucheshi unaompelekea kuzoeleka kirahisi (hii changamoto nayo wakati mwingine).
Uamuzi bora ni upi hapa wa kuchukua wadau?!!!
Sauti inaongezeka siku baada ya siku na hali ndo kama hivyo.
Muache kabla hamjaongeza watoto zaidiNi mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu sahihi.....nimepotea.
Kila nikijaribu kuipotezea sauti hii huwa inajiongeza hadi kufikia kuniamsha usingizini wakati mwingine.
Tuna viutofauti kadhaa, ndiyo, lakini mimi mwenyewe sijawahi kuvifanya kuwa hoja sana (kuvifikiria kupitiliza kiasi cha kupata hisia hizi hasi.....naona ni vitu vya kurekebishika vikidanyiwa kazi ipasavyo). Baadhi ya viutofauti gtetu ni hv hapa;
1. Kupenda kuvaa madera (mi si mfuasi wa madera),
2. Kulalamika lalamika ( sipendi makelele makelele miki),
3. Kuzoeana sana na mama yake,
4. Majibu ya jazba yanayopelekea ugomvi kati yetu,
5. Uchapakazi hafifu (si mwenye kuweza kulima ipasavyo),
6. Ucheshi unaompelekea kuzoeleka kirahisi (hii changamoto nayo wakati mwingine).
Uamuzi bora ni upi hapa wa kuchukua wadau?!!!
Sauti inaongezeka siku baada ya siku na hali ndo kama hivyo.
Bora upate mwanamke dizain hii kuliko upate yule mkimya atakupiga matukio mpaka uchanganyikiwe kabisaNi mwaka wa 3 nipo na huyu mke na mtoto mmoja tayari; sijawahi kukamata sms ya ajabu wala kumkamata au kupata taarifa za kuchepuka kwake (labda watu wananiheshimu na hivyo hunistahi kwa kutoniambia), lakini pamoja na hayo nafsi yangu, katika kipindi chote, haiachi kuniambia kuwa hapa siyo sehemu sahihi.....nimepotea.