kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
mimi nikijana nina amri wa miaka 26 nimeona na nimejaliwa kupata mtoto wa kike ila ninatatizo Fulani ambalo linanitatiza kipindi naoa mke wangu kuna siku kulitokea misunderstanding Kati yangu na mke wangu mwenzangu kwa Asira akanilinganisha na ex wake kwa kumsifia ex wake kuwa yupo vizuri kitandani kuliko mimi
Kwa bahati nzuri tukaombana msamaha ila kiukweli ya pita sasa mwaka mmoja na nusu bado neno ilo lipo kichwani mwangu lina nipa stress kuna mda najikuta namchukia sana mke wangu na wakati mwingine tukiwa tunafanya tendo la Ndoa nikikumbuka neno lile hapo hapo mzee analala kuna mda natamani ni mfukuze kabisa ila nikicheki binti yangu wa miezi Miwili najikuta nashindwa kuchukuwa maamuzi magumu
Nashindwa kujua nitaondokanaje na hali hii naombeni ushauri