Naombeni ushauri ndugu zangu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
mimi nikijana nina amri wa miaka 26 nimeona na nimejaliwa kupata mtoto wa kike ila ninatatizo Fulani ambalo linanitatiza kipindi naoa mke wangu kuna siku kulitokea misunderstanding Kati yangu na mke wangu mwenzangu kwa Asira akanilinganisha na ex wake kwa kumsifia ex wake kuwa yupo vizuri kitandani kuliko mimi

Kwa bahati nzuri tukaombana msamaha ila kiukweli ya pita sasa mwaka mmoja na nusu bado neno ilo lipo kichwani mwangu lina nipa stress kuna mda najikuta namchukia sana mke wangu na wakati mwingine tukiwa tunafanya tendo la Ndoa nikikumbuka neno lile hapo hapo mzee analala kuna mda natamani ni mfukuze kabisa ila nikicheki binti yangu wa miezi Miwili najikuta nashindwa kuchukuwa maamuzi magumu
Nashindwa kujua nitaondokanaje na hali hii naombeni ushauri
 
Ndo changamoto hizo za kuoa asie bikra.
 
Mtafute dada wa exwake umgonge, utasahau,Acha jazba, Wewe ndio uko vizuri kitandani ndio maana uko nae!wewe ndio injini kiuono Bora kuliko exwake ni Wewe tuu unajipa Stress!
 
Pole sana. Kuna uwezekano akawa anaenda kwa ex wake kwa kificho. Kuwa makini naye.
 
Ni kawaida hiyo kwani kutokuwa bora kitandani kwa kulinganishwa na mtu mwingine inakupunguzia nini?unahisi inaondoa hadhi ya uanaume wako? Hapana si kweli kwani binadamu tumetofautiana hivyo wakati mwingine yatupasa kukubali mapungufu yetu. Ilimradi unamkojoza mambo mengine achana nayo, yawezekana aliongea ili akuumize na wewe umeumia kweli tena Sana.

Sasa ushauri wangu ni huu kaa na mkeo mueleze jinsi maneno yake yalivyokuumiza kiasi kwamba mpaka Leo umeshindwa kuyasahau. Lazima atajitetea kuwa aliongea kutokana na hasira lakini maneno yale hayakuwa na ukweli wowote. Hii itakujenga kisaikolojia na kurudisha hali yako ya zamani juu yake.

Naimani hata wewe Kuna binti wa watu hujamsahau mpaka leo jinsi alivyokuwa na k mnato na viuno vya kimakonde zaidi ya mkeo wa sasa na huu ndiyo uhalisia wa maisha.
 
Pole sana ila hilo ni suala la kawaida tu maneno hayana maana yoyote kwa yalimtoka tu yapuuze
 
Alikosea sana kutoka hiyo kauli. Hakupaswa kukulinganisha na mwingine. Mpaka anakubali muoane aliona uwezo wako. Yote kwa yote ameutia moyo wako doa. Yeye ndiyo wakukufanya moyo wako upone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…