Naombeni ushauri ndugu zangu

We jamaa mtoto ana miezi miwili tu, mmeshaanza kufanya tendo? Una harakishia wapi? Mpe muda mama apumzike.
 
Hana adabu
Pili inaonekana kweli unauwezo mdogo ndîo maana dongo limekupata.

Tatu, anaonekana bado anammiss Ex wake au Anampenda kukuliko wewe

Nne, anajua Huwezi kufanya lolote. Kwa Watu kama Sisi mwanamke akiongea hivyo tunamuacha Mapema sana
 
Pole. Sana jamaa haya mambo ni magumu kweli, vumilia usitishike maneno na wewe siku moja piga kudru one kwamba alieongea, aliongelewa wote safari
 
Alifanya kosa kubwa saaaana, huwezi kumuambia mumeo hicho kitu. Ni kukosa adabu, ni usaliti pia.. maana unamfananishaje mumeo kabisa baba watoto na mtu mwingine?? Hana akili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…