Naombeni ushauri nichukue gari aina gani kati ya Runx na Voltz

Kama ni mtu wa mjini tuu hapa Runx inafaa zaidi, ila kama hiyo gari utakua unatimba nayo kila sehemu, shamba, mikoani au sehemu barabara si nzuri bora VOLZ maana ni kama mid-suv flani hivi
 
Hakuna gari hapo. Walau voltz kwa mbaaali.
 
Kama ni mtu wa mjini tuu hapa Runx inafaa zaidi, ila kama hiyo gari utakua unatimba nayo kila sehemu, shamba, mikoani au sehemu barabara si nzuri bora VOLZ maana ni kama mid-suv flani hivi
ahsante kaka,nipo hapa mjini but mkoani ndo home so huwa naenda pia
 
Nawasalimu wakuu,nimefanikiwa kujichanga na kupata kakiasi fulani,bado niko na sintofaham,nichukue ipi kati ya hizo mbili.

NB:NAHITAJ USHAURI WA NICHUKUE IPI KATI YA HIZO NA SIO MARA JENGA NYUMBA SIJUI FUNGUA BIASHARA.HOJA IWE GARI IPI.
nikuulize kwanza unataka gari ya economic fuel au unachagua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…