MACHONDELA
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 940
- 1,573
Nawasalimu wakuu,
Nimefanikiwa kujichanga na kupata kakiasi fulani, bado niko na sintofahamu ya gari ipi niichukue kati ya hizo mbili.
NB:Nahitaji ushauri wa nichukue gari kati ya hizo na sio jenga nyumba au fungua biashara.