Naombeni ushauri nichukue gari aina gani kati ya Runx na Voltz

Naombeni ushauri nichukue gari aina gani kati ya Runx na Voltz

Hakuna gari hapo. Walau voltz kwa mbaaali.
 
Kama ni mtu wa mjini tuu hapa Runx inafaa zaidi, ila kama hiyo gari utakua unatimba nayo kila sehemu, shamba, mikoani au sehemu barabara si nzuri bora VOLZ maana ni kama mid-suv flani hivi
ahsante kaka,nipo hapa mjini but mkoani ndo home so huwa naenda pia
 
Nawasalimu wakuu,nimefanikiwa kujichanga na kupata kakiasi fulani,bado niko na sintofaham,nichukue ipi kati ya hizo mbili.

NB:NAHITAJ USHAURI WA NICHUKUE IPI KATI YA HIZO NA SIO MARA JENGA NYUMBA SIJUI FUNGUA BIASHARA.HOJA IWE GARI IPI.
nikuulize kwanza unataka gari ya economic fuel au unachagua tu
 
Mkuu tafuta starlet bei chee..ni economic wise...
Then iliyobaki tia kwenye mikeka ya betting na nyingine kanywe bia na mabahari
betting mbona nasulubu sana muhindi mimi
Screenshot_20190923-192906_Facebook.jpeg
 
Back
Top Bottom