Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Naunga mkono hoja👏👏Kwakuwa hili suala la Wanafunzi kutapeli wazazi linazidi kuwa kubwa. TCU watengeneze Website ambayo Wazazi wanaweza kuitumia kutambua endapo mwanae yupo ON PROGRESS, GRADUATE, DICONTINUED, ON PT, CARRY, SUP nk ili kuondoa hili ombwe gumu la malezi. Wazazi hatutahitaji kuona taarifa nyiingi za huyo mtoto just kujua Learning status yake baasi. Kinachotakiwa ni Reg.Namba ya mwanafunzi then unasearch inaleta status baasi.
Naleta kama mzazi hii inshu imekuwa kero sana.
Hii itasaidia pia waaajiri wanaokumbana na wanafunzi feki wanaoghushi barua za field na kufanyakazi maeneo nyeti lkn kumbe siyo wanafunzi.