Naombeni Ushauri nimedisco chuo tangu mwaka wa pili na nyumbani wanajua naendelea na masomo na huu ndiyo mwaka wa mwisho

Kwakuwa hili suala la Wanafunzi kutapeli wazazi linazidi kuwa kubwa. TCU watengeneze Website ambayo Wazazi wanaweza kuitumia kutambua endapo mwanae yupo ON PROGRESS, GRADUATE, DICONTINUED, ON PT, CARRY, SUP nk ili kuondoa hili ombwe gumu la malezi. Wazazi hatutahitaji kuona taarifa nyiingi za huyo mtoto just kujua Learning status yake baasi. Kinachotakiwa ni Reg.Namba ya mwanafunzi then unasearch inaleta status baasi.

Naleta kama mzazi hii inshu imekuwa kero sana.

Hii itasaidia pia waaajiri wanaokumbana na wanafunzi feki wanaoghushi barua za field na kufanyakazi maeneo nyeti lkn kumbe siyo wanafunzi.
Naunga mkono hoja👏👏
 
Mambo wana JamiiForums,

Nilidisco Chuo tangu nikiwa mwaka wa pili lakini mara baada ya kudisco sikurudi nyumbani wakawa wananitumia hela ya matumizi naishi tu ili wenzangu wakimaliza na mimi naenda home nionekane nimemaliza chuo wakija kuuliza ajira ionekane ajira ni ngumu sijapata.

Sasa huu ndo mwaka wa tatu huko nyumbani wameanza shamrashamra za maandalizi ya graduation yangu[emoji29]yani kila wakiongea na mimi ndiyo maswali ninayoulizwa.

Hapo kuna Dada angu mkubwa ni Afisa Maendeleo ya Jamii. Jana anasema Keki na hela ya joho juu yake mimi naitikia sawa Dada .

Naombeni ushauri waliyowahi kupitia hali kama hii wanisaidie.
Hela unatumiwa unakula tu bila kujiongeza.
Akili iliyofeli masomo inafeli vipi hata kujiongeza kujiingiza kwenye uwinga...

Kosa kubwa umefanya hapo.

Laiti ungejiingiza kwenye business then ukitusua ndipo ungekuja kufunguka.

Hapo ungekuwa umejihakikishia point 3 tena za mezani mbele ya familia, kwa sababu hakuna anayechukia maendeleo. Tena hapa ungeanza kwa kuwaomba msamaha then ukawaambia hela waliyokuwa wanakutumia ulifanyia hivi na matokeo yake ndio haya.
 
Mambo wana JamiiForums,

Nilidisco Chuo tangu nikiwa mwaka wa pili lakini mara baada ya kudisco sikurudi nyumbani wakawa wananitumia hela ya matumizi naishi tu ili wenzangu wakimaliza na mimi naenda home nionekane nimemaliza chuo wakija kuuliza ajira ionekane ajira ni ngumu sijapata.

Sasa huu ndo mwaka wa tatu huko nyumbani wameanza shamrashamra za maandalizi ya graduation yangu😓yani kila wakiongea na mimi ndiyo maswali ninayoulizwa.

Hapo kuna Dada angu mkubwa ni Afisa Maendeleo ya Jamii. Jana anasema Keki na hela ya joho juu yake mimi naitikia sawa Dada .

Naombeni ushauri waliyowahi kupitia hali kama hii wanisaidie.
Tukushauri nini sasa..wee endelea na maandalizi ya graduation!
 
Pole ndugu,vyema umekuja kwa ajili ya kuomba ushauri,kwania njema naomba uwajulishe wanajukwaa juu ya malezi uliyopewa katika familia yako,pia ni sababu zipi hapo chuoni kwako zilipelekea hadi ukadisco,je ni starehe,utoro,mahusiano,maradhi au sababu gani nyingine.Ukiweza kufanya hivyo naamini utaweza kupata ushauri ulio bora na utakao kusaidia kwa kile unachopitia.
Hayo mengine ni yake hapa ameomba ushauri tu..
 
Hapo unambania kupata ushauri wa kumfaa,hapo anaweza kutokea mtaalamu akakuambia hizo ni dalili za ugonjwa wa akili ,sasa wewe unamwekea wigo,kama nae karidhia poa.
 
Mambo wana JamiiForums,

Nilidisco Chuo tangu nikiwa mwaka wa pili lakini mara baada ya kudisco sikurudi nyumbani wakawa wananitumia hela ya matumizi naishi tu ili wenzangu wakimaliza na mimi naenda home nionekane nimemaliza chuo wakija kuuliza ajira ionekane ajira ni ngumu sijapata.

Sasa huu ndo mwaka wa tatu huko nyumbani wameanza shamrashamra za maandalizi ya graduation yangu😓yani kila wakiongea na mimi ndiyo maswali ninayoulizwa.

Hapo kuna Dada angu mkubwa ni Afisa Maendeleo ya Jamii. Jana anasema Keki na hela ya joho juu yake mimi naitikia sawa Dada .

Naombeni ushauri waliyowahi kupitia hali kama hii wanisaidie.
Katika maisha nilijifunza kwamba hautakiwi kuyaficha matatizo kwa wale ambao wanaotakiwa kukusaidia hasa ndugu.
 
Mambo wana JamiiForums,

Nilidisco Chuo tangu nikiwa mwaka wa pili lakini mara baada ya kudisco sikurudi nyumbani wakawa wananitumia hela ya matumizi naishi tu ili wenzangu wakimaliza na mimi naenda home nionekane nimemaliza chuo wakija kuuliza ajira ionekane ajira ni ngumu sijapata.

Sasa huu ndo mwaka wa tatu huko nyumbani wameanza shamrashamra za maandalizi ya graduation yangu😓yani kila wakiongea na mimi ndiyo maswali ninayoulizwa.

Hapo kuna Dada angu mkubwa ni Afisa Maendeleo ya Jamii. Jana anasema Keki na hela ya joho juu yake mimi naitikia sawa Dada .

Naombeni ushauri waliyowahi kupitia hali kama hii wanisaidie.
Waambie ume carry somo /masomo mawili inabidi ukariri mwaka.
 
"Bahati Mbaya Sana,,Uongo Mara Zote Huwaga Haudumu".
 
Umeomba ushauri too late. Ungefunguka since ulipoyaona matokeo ningekupa ABC maana na mimi yalinikuta kama hayo miaka 5 ilopita, niliweka mazingira flan hadi leo hakuna aliyeelewa ukweli n upi, and sikuwa na wazo la kuhangaika na mfumo wa Elimu tena.

Now niko zangu kitaa. Maisha yanaenda poa tu kwa namna nyngne
 
Ukweli utakuweka huru, waambie ukweli ndg zako.
Vyuo na TCU wekeni utaratibu wa Wazazi au Walezi kuwa na access ya kuona progress za watoto wao wawapo vyuoni, vijana wanazidi kuwa wa hovyo.
 
Nilidisco Chuo tangu nikiwa mwaka wa pili lakini mara baada ya kudisco sikurudi nyumbani wakawa wananitumia hela ya matumizi naishi tu ili wenzangu wakimaliza na mimi naenda home nionekane nimemaliza chuo wakija kuuliza ajira ionekane ajira ni ngumu sijapata
Waambie wazazi au walezi wako ukweli ili wasiendelee kuharibu pesa kukutumia wakati husomi.Ukweli humweka mtu kuwa huru
 
Mambo wana JamiiForums,

Nilidisco Chuo tangu nikiwa mwaka wa pili lakini mara baada ya kudisco sikurudi nyumbani wakawa wananitumia hela ya matumizi naishi tu ili wenzangu wakimaliza na mimi naenda home nionekane nimemaliza chuo wakija kuuliza ajira ionekane ajira ni ngumu sijapata.

Sasa huu ndo mwaka wa tatu huko nyumbani wameanza shamrashamra za maandalizi ya graduation yangu😓yani kila wakiongea na mimi ndiyo maswali ninayoulizwa.

Hapo kuna Dada angu mkubwa ni Afisa Maendeleo ya Jamii. Jana anasema Keki na hela ya joho juu yake mimi naitikia sawa Dada .

Naombeni ushauri waliyowahi kupitia hali kama hii wanisaidie.
Njoo geto
 
Back
Top Bottom