Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kizungu Mkuuwameshindwa wote kwa sababu hakuna lugha inaitwa 'kuzungu'
Wakishakuandikia ndio inakuaje?Wadau hamjamboni nyote?
Nipo kijiweni kahawa tokea saa 2 asubuhi
Hadi muda huu saa 8:15 bado nimeshikilia hela zangu mkononi nasubiri mtu aniandikie neno kwaya kwa kiingereza " kizungu" sijampata
Mchana mwema
hiko kijiwe kipo wapiWadau hamjamboni nyote?
Nipo kijiweni kahawa tokea saa 2 asubuhi
Hadi muda huu saa 8:15 bado nimeshikilia hela zangu mkononi nasubiri mtu aniandikie neno kwaya kwa kiingereza " kizungu" sijampata
Mchana mwema
Ni Choir mkuu 😄 🤣Kwaya = kwayer
Au
Kwaya = quayer
Tuma kwa namba hii jina litakuja Oppo 17k
Ni kwayer au quayerNi Choir mkuu 😄 🤣
Bugurunihiko kijiwe kipo wapi
Je kuhara, au kuharisha nalo wengi watakosaSasa ungwaambia waandike saikolojia sindio unge wa ua kabisa ahahahah
OkNi kwayer au quayer