klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Shkamoo peleka kijijini. Mimi shalobalo bana nambie, whats up meen?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shkamoo peleka kijijini. Mimi shalobalo bana nambie, whats up meen?
nilishawai mmoja tu ila sikuiba aliniambia mkewealifariki kwa ajali siku nyingi .nikamwambia nionyeshe kaburi ili tupate baraka zake za mwisho akaniambia alifia marekani akazikwa hukohuko , baada ya muda ndo nikaujua ukweli kumbe tupo mtaa mmoja na huyo wife wake bwana hata usinikumbushehii pia ni possible, inawezekana ameambiwa akuwekee sumu kwenye chapati.
Hivi haujawahi kuiba mume wa mtu wewe? (ukidanganya nitajua, nimechukua shahada yangu ya ulawyer zimbabwe yunivasity)
Lawyer jaribu kupunguza hasira ili mbavu zangu zibaki salama lol, hija mgahawani???Si ndio nashangaa smile anamuogopea nini? yaani rijali zima inakuwaje? inaanzaje anzaje? , watu wanakwenda hijja saudia wewe unakwenda hijja mkahawani kumuangalia smile amemaliza chapati ngapi? nyambaaf zake. Hapa lawyer nimeongea kwa hasira sana
Owwwkey! Dah! hakyanani smile wakikuuwa nitakumiss, wallahi tenanilishawai mmoja tu ila sikuiba aliniambia mkewealifariki kwa ajali siku nyingi .nikamwambia nionyeshe kaburi ili tupate baraka zake za mwisho akaniambia alifia marekani akazikwa hukohuko , baada ya muda ndo nikaujua ukweli kumbe tupo mtaa mmoja na huyo wife wake bwana hata usinikumbushe
Hahaha!hawa wanogopana, sasa ukitaka kujua kila mmoja hayuko sirias... organize jamaa siku moja aingie pale na kitu kikali, ndipo utajua smile hayuko sirias.... atacha woga wala makida-makida
Unajua hii kesi ni vere serious, yaani nimepuuza PM za mchumbaangu nadili na hii kesi.Lawyer jaribu kupunguza hasira ili mbavu zangu zibaki salama lol, hija mgahawani???
hahahahahahahaha, haya sharobaro gani mvuja jasho hadi unatuloweshea screen zetu.Shkamoo peleka kijijini. Mimi shalobalo bana nambie, whats up meen?
hahahahahahahaha, haya sharobaro gani mvuja jasho hadi unatuloweshea screen zetu.
Hahahaaaa.Unajua hii kesi ni vere serious, yaani nimepuuza PM za mchumbaangu nadili na hii kesi.
Tena katika madai yako andika pia jamaa akulipe hela za chapati zako ambazo ulizibakisha kwa kumuogopa yeye.naona huyu jamaa katumwa naenda kutoa taarifa polisi
ananitishia kifo
Hahahaaaa.
Mwambie Husninyo nampa hi..
sio chapati tu je vipapatio na vidari vya bata? Kweli umenifumbua macho.nimeamini wewe ni lawyer wa ukwelitena katika madai yako andika pia jamaa akulipe hela za chapati zako ambazo ulizibakisha kwa kumuogopa yeye.
Usvumilie kabisa unyanyasaji wa ki diet wa namna hii.
Hahahaha! Kwanini anamuogopa?..Tena katika madai yako andika pia jamaa akulipe hela za chapati zako ambazo ulizibakisha kwa kumuogopa yeye.
Usvumilie kabisa unyanyasaji wa ki diet wa namna hii.
Heee, tena? Jamani mlivyokuwa mnapendana na Husninyo nani kawakosanisha?Kanichunia sku izi bora mtumie thru judgement
huo mgahawa nakula kila siku kwa sababu bill inalipwa na ofisi my dear,nimebadili time table sana tu lakini mambo ni yale yale nikikaa tu nayeye anatokeza