Naombeni ushauri nipo njia panda

walisema wachaga baada ya kutoa mahari ni lazima ujifungue chini ya uangalizi wa mama mkwe ndio maana nikaenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mami kwanza mshukuru Mungu, kumpata mwanaume na familia yake wanakujali, wewe ni mke wa mtu msikilize mumeo, mama mueleze atakuelewa kuanzisha chokochoko saa hizi na wewe upo kwenye uzazi si njema na ndoa bado si njema.
 
Ongea na mama yako ambembeleze baba yako aje kwa wakwe waongee pamoja usitumie asira mueleweshe mama yako vizuri ili upatikane muafaka wa kudumu kwa njia ya mazungumzo ila nikuulize kwañn huishi na uyo mwanaume sorry lkni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inavy onekana uyo mwanaume labda ana mtu anaishi nae cjui ndio maana yuko kwa wakwe au sabab ya kusaidiwa kutokan na kujifungua maybe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni mchaga wa wapi uliyekutana naye ambaye hajui maana ya ndoa? Kukutolea mahari sio ndoa,haitambuliki serikalini wala kanisani.Cha msingi wazazi wote wakae pamoja,swala la ndoa lijadiliwe.Sio lazima urudi nyumbani kwanza ndipo ndoa ifungwe.unaweza kufunga hata ukiwa hapo kwa huyo bwana yako.Na si lazima mualike watu,mpige tarumbeta,nenda mkaandikishe ndoa,siku ya siku nenda Na mashahidi wenu ndoa ifungwe.Vinginevyo bila ndoa huyo jamaa unaweza kubadili mawazo akafunga ndoa na mtu mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said na aangalie familia ya mwanaume inaweza kumtumia kama anaishi na mkwe akawafanyia kazi au shughuli za nyumbani kama mtumwa alafu badaye wajekukutupa kama inawezekana waishi yeye na mwanaume wasikae na wazazi wa pande zozozte

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inavy onekana uyo mwanaume labda ana mtu anaishi nae cjui ndio maana yuko kwa wakwe au sabab ya kusaidiwa kutokan na kujifungua maybe

Sent using Jamii Forums mobile app
Miezi5 bado anasaidiwa uzazi aisee uzazi ni mgumu miezi mi3 ya kwanza lkni saiv ameahapata uelewa na jinsi ya kuishi na mtoto fanya juudi muishi pamoja wakwe wa kichaga wanapenda mtu anayejiweza kifedha ndyo atakueshimu nenda kaishi na mmeo ni rahisi kueleweshana na kutatua ilo tatizo lkni wakwe waingiza maneno na mwanaume ni rahisi kumsikiliza mama yake na kufanya maamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Toka apo njia panda trudie
2. Urudi kwa mama mkwe wako trudie
3. Usiwafuate ndugu zako trudie
4. Maana utampoteza mme wako trudie
5. Alafu ukabaki unalia na moyo wako jaydee

Ni hayo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukuru Mungu unetolewa na mahari iyo in ndoa tosha ucthubutu kuleta kamdomo mdomo utaishia kuwa single mom bure

am better here
 
Inaonekana shida yako na ndugu zako ni harusi?,ww ni mke wa mtu tayari ikiwa umelipiwa mahari hata kibiblia inajulikana hivyo,harusi ni mbwembwe tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mami kwanza mshukuru Mungu, kumpata mwanaume na familia yake wanakujali, wewe ni mke wa mtu msikilize mumeo, mama mueleze atakuelewa kuanzisha chokochoko saa hizi na wewe upo kwenye uzazi si njema na ndoa bado si njema.
 
naishi na mchumba wangu na nimejifungulia kwake mama mkwe kaja kunihudumia..sijasema siishi na mchumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna sehemu nimesema siishi nae...nimejifungu chini ya uangalizi wa mkwe na alikuja kunilea ambapo anaishi mchumba wangu...sasa ya kuishi na mtu tena
inavy onekana uyo mwanaume labda ana mtu anaishi nae cjui ndio maana yuko kwa wakwe au sabab ya kusaidiwa kutokan na kujifungua maybe

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mami kwanza mshukuru Mungu, kumpata mwanaume na familia yake wanakujali, wewe ni mke wa mtu msikilize mumeo, mama mueleze atakuelewa kuanzisha chokochoko saa hizi na wewe upo kwenye uzazi si njema na ndoa bado si njema.
asante sana kwa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naishi na mchumba wangu lakini mama mkwe yupo pia...najiweza kumtunza mtoto kwa sasa sema kuna kutokuelewana katika familia mbili....wao walisema tunamuomba kwa ajili ya kujifungua awe chini ya mkwe wake sasa wazazi wanasema mtoto ameshakua inabidi nisikae tena huko nirudi nyumbani mpaka ndoa na kama hakuna ndoa basi kuna namna inabidi waje kunichukua na wazazi waniage sio kama walivyonichukua wao kwa kigezo cha kujifungua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…