moj6
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 3,354
- 4,985
Nahisi ww ndio mchaga halafu jamaa ni mbena,kweli? Mbona wazazi wako wanamaamzi kama wachaga hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walisema wachaga baada ya kutoa mahari ni lazima ujifungue chini ya uangalizi wa mama mkwe ndio maana nikaendaAchana na mahusiano ya ki.seng.e hayo !hujaolewa hali ndio hiyo ukiolewa itakuwaje na kwa nn mnakaa ukweni ?huyo mjamaa wako inaonesha anaendeshwa na mama yake hadi katika mahusiano a mamma boy!
Achana nae njoo kwangu sina mashart ya ki cho.ko kwenye mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi ww ndio mchaga halafu jamaa ni mbena,kweli? Mbona wazazi wako wanamaamzi kama wachaga hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Toka hapo njia panda uende round about.
vazi lako zur kwel ata mm lime niccmuaKwani tunaongelea ishu au mavazi na picha unazosemea wewe hata hivyo asante kwa ushauri umepokelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
inavy onekana uyo mwanaume labda ana mtu anaishi nae cjui ndio maana yuko kwa wakwe au sabab ya kusaidiwa kutokan na kujifungua maybeOngea na mama yako ambembeleze baba yako aje kwa wakwe waongee pamoja usitumie asira mueleweshe mama yako vizuri ili upatikane muafaka wa kudumu kwa njia ya mazungumzo ila nikuulize kwañn huishi na uyo mwanaume sorry lkni
Sent using Jamii Forums mobile app
walisema wachaga baada ya kutoa mahari ni lazima ujifungue chini ya uangalizi wa mama mkwe ndio maana nikaenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said na aangalie familia ya mwanaume inaweza kumtumia kama anaishi na mkwe akawafanyia kazi au shughuli za nyumbani kama mtumwa alafu badaye wajekukutupa kama inawezekana waishi yeye na mwanaume wasikae na wazazi wa pande zozozteKutokana na Jibu namba 2 na namba 4 naomba nkwambie itoe ndoa kama priority yako kwa sasa ila endlea kuish na mwenza wako huku una focus kutengeneza kipato chako mwenyewe wether kuajiriwa au biashara kwa maana kwamba, right now hata ukirud kwenu hakuna ambae anaweza kuwa msaada kwako and yet utamtegmea mwenza wako kwa matunzo ya mtoto.
Pia Boreshen mahusiano yenu na wazaz wa pande zote mbili kwa maana mngekua mnaelewana vzur hili swala la ndoa ni dogo sana halihtaji kupigishana mikwara kama hyo.
Miezi5 bado anasaidiwa uzazi aisee uzazi ni mgumu miezi mi3 ya kwanza lkni saiv ameahapata uelewa na jinsi ya kuishi na mtoto fanya juudi muishi pamoja wakwe wa kichaga wanapenda mtu anayejiweza kifedha ndyo atakueshimu nenda kaishi na mmeo ni rahisi kueleweshana na kutatua ilo tatizo lkni wakwe waingiza maneno na mwanaume ni rahisi kumsikiliza mama yake na kufanya maamuziinavy onekana uyo mwanaume labda ana mtu anaishi nae cjui ndio maana yuko kwa wakwe au sabab ya kusaidiwa kutokan na kujifungua maybe
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Toka apo njia panda trudieHabarini wana JF,
Kwanza niwatakie heri ya sikukuu ya wapendanao mzidi kupendana. Tukirudi katika mada mimi ni mwanamke wa miaka 25 na mama wa mtoto mmoja. Nina mwenza wangu ambae ndio baba wa mtoto wangu.
Kinachonifanya niombe ushauri ni hali iliyopo sasa.
Mwaka jana mwezi wa 6 mwenzi wangu alikuja kutoa mahari kwetu na kunivalisha pete ya uchumba wakati huo nilikuwa na mimba ya miezi 5.
Upande wa kiume wakaahidi tufunge ndoa mwezi wa 12 lakini ikaonekana kama Mungu akijalia nitajifungua salama basi mtoto atakuwa mdogo sana basi wakasogeza mpaka mwezi wa 4 mwaka huu na wakasema inabidi nikajifungue kwa mamamkwe na nitakuwa chini ya uangalizi wake .
namshukuru Mungu nilijifungua salama.
Sasa hivi mtoto ana miezi 5 wazazi wangu wanasema nirudi nyumbani sababu sijaolewa mpaka wanikabidhi kwa ndoa kabisa ila mama mkwe anasema nibaki sababu mahari ni ndoa tayari kanisani kubariki tuu mimi ni mke wa mtu. mchumba wangu ananiambia nikiondoka kurudi kwetu niondoke moja kwa moja nisirudi kwake. naombeni ushauri wenu juu ya hili.
Je ni kweli ukishatolewa mahari unakuwa umeolewa? Na nifanye nini katika hili? Mimi ni mbena na mchumba wangu ni mchaga.
Natanguliza shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
naishi na mchumba wangu na nimejifungulia kwake mama mkwe kaja kunihudumia..sijasema siishi na mchumbaOngea na mama yako ambembeleze baba yako aje kwa wakwe waongee pamoja usitumie asira mueleweshe mama yako vizuri ili upatikane muafaka wa kudumu kwa njia ya mazungumzo ila nikuulize kwañn huishi na uyo mwanaume sorry lkni
Sent using Jamii Forums mobile app
inavy onekana uyo mwanaume labda ana mtu anaishi nae cjui ndio maana yuko kwa wakwe au sabab ya kusaidiwa kutokan na kujifungua maybe
Sent using Jamii Forums mobile app
asante sana kwa ushauriMami kwanza mshukuru Mungu, kumpata mwanaume na familia yake wanakujali, wewe ni mke wa mtu msikilize mumeo, mama mueleze atakuelewa kuanzisha chokochoko saa hizi na wewe upo kwenye uzazi si njema na ndoa bado si njema.
naishi na mchumba wangu lakini mama mkwe yupo pia...najiweza kumtunza mtoto kwa sasa sema kuna kutokuelewana katika familia mbili....wao walisema tunamuomba kwa ajili ya kujifungua awe chini ya mkwe wake sasa wazazi wanasema mtoto ameshakua inabidi nisikae tena huko nirudi nyumbani mpaka ndoa na kama hakuna ndoa basi kuna namna inabidi waje kunichukua na wazazi waniage sio kama walivyonichukua wao kwa kigezo cha kujifunguaMiezi5 bado anasaidiwa uzazi aisee uzazi ni mgumu miezi mi3 ya kwanza lkni saiv ameahapata uelewa na jinsi ya kuishi na mtoto fanya juudi muishi pamoja wakwe wa kichaga wanapenda mtu anayejiweza kifedha ndyo atakueshimu nenda kaishi na mmeo ni rahisi kueleweshana na kutatua ilo tatizo lkni wakwe waingiza maneno na mwanaume ni rahisi kumsikiliza mama yake na kufanya maamuzi
Sent using Jamii Forums mobile app