Inaonekana shida yako na ndugu zako ni harusi?,ww ni mke wa mtu tayari ikiwa umelipiwa mahari hata kibiblia inajulikana hivyo,harusi ni mbwembwe tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaur mzur....Shukuru Mungu unetolewa na mahari iyo in ndoa tosha ucthubutu kuleta kamdomo mdomo utaishia kuwa single mom bure
am better here
Kwani kuwa single mother ni dhambi? Jamani watoto ni baraka na zawadi tujivunie hilo.
U single Mother wakujitakia... mumeo anakupenda... acha blablaaa za ndugu..Kwani kuwa single mother ni dhambi? Jamani watoto ni baraka na zawadi tujivunie hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
AmeinHata mimi najua hivyo, ukishatolewa mahari wewe ni mke wa mtu tayari na aliyekutolea mahari ana ruhusa ya kukuchukua muda wowote ila kwa sababu ya mambo ya imani ndio yanafanyika makubaliano kwamba lini mnachukuana. Na hapo tayari umeshazaa mi nakushauri ukae tu mtabariki ndoa siku za usoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana shida sio harusi..shida ya wazazi wangu ni kwamba kama wananichukua bila harusi basi wao waambiwe ili wanikabidhi sio kuondoka kienyeji kama hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwa nini urudi nyumbani kisa harusi?lakink wazazi wana nia njema na kwanini umuache sababu tuu amerudi nyumbani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijambo dada mzur mzur... Nmekumis
Nimekumiss pia, kesho nakuja gengeniSijambo dada mzur mzur... Nmekumis
Afadhal kwa kwel maana leo gengeni nilikua mwenywe tu... Ila lijamaa lako usje nalo tutafukuza wateja
Haha haya, tusiharibu uzi wa watuAfadhal kwa kwel maana leo gengeni nilikua mwenywe tu... Ila lijamaa lako usje nalo tutafukuza wateja
Ha ha ha ila kwel huna uzi wako nije huko?
Ha ha ha ila kwel huna uzi wako nije huko?
Bye huku