Naombeni ushauri nipo njia panda

Naombeni ushauri nipo njia panda

Hapana shida sio harusi..shida ya wazazi wangu ni kwamba kama wananichukua bila harusi basi wao waambiwe ili wanikabidhi sio kuondoka kienyeji kama hivi
Inaonekana shida yako na ndugu zako ni harusi?,ww ni mke wa mtu tayari ikiwa umelipiwa mahari hata kibiblia inajulikana hivyo,harusi ni mbwembwe tuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishi nyumbani kwako na mumeo;kuishi kwa wakwe au kujifungulia kwa wakwe/ndugu ni mambo ya kizamani.
 
Hata mimi najua hivyo, ukishatolewa mahari wewe ni mke wa mtu tayari na aliyekutolea mahari ana ruhusa ya kukuchukua muda wowote ila kwa sababu ya mambo ya imani ndio yanafanyika makubaliano kwamba lini mnachukuana. Na hapo tayari umeshazaa mi nakushauri ukae tu mtabariki ndoa siku za usoni

Amein
 
Back
Top Bottom