Sijaambiwa nirudi sababu ya harusi...sababu ni kwamba wao walisema tunamuazima aje ajifungue baada ya kujifungua wamekaa kimya bila kuwaambia chochote upande wa kike si kuhusu mtoto au tumemchukua moja kwa moja....kama sio dharau wazazi wenzao ni nini??
Naona labda mnashindwa kuelewa sirudi nyumbani sababu ya harusi...
Mkishafikia hatua hii tayari hapo hata kama kutakuwa na ndoa, manenomaneno hayataisha maana upande wenu tayari uneshaona kuwa wanadhalauliwa.Naona labda mnashindwa kuelewa sirudi nyumbani sababu ya harusi...
1. niliambiwa niende nikajifungue kwa mamamkwe na nimejifungua na walitumia neno "tunamuazima"
2. Baada ya kujifungua hawakutoa update yoyote ya maendeleo ya mtoto wala mama waliyemwazima wakakaa kimya
3. Hawajatoa taarifa kwa wazazi wenza kwamba baada ya kujifungua basi anabaki hapa hapa.(refer kauli yao tunamuazima ili ajifungue).
Kiustaarabu walitakiwa kufanya yote hayo ila la kushangaza toka wametoa mahari hata mawasiliano tuu na wazazi wenza hakuna. Wazazi wenzao pia wanahitaji heshima yao na kupewa taarifa ya kinachoendelea na sio kuwafanyia dharau kama hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo yako aya kumbe mgogoro unautengeneza wewe kwasababu mambo ya mawasiliano ni yapande zote ila nikama wewe uko upande wawazazi wako..Napata mashaka kama hiyo ndoa itadumu.ila ngoja tuone.Naona labda mnashindwa kuelewa sirudi nyumbani sababu ya harusi...
1. niliambiwa niende nikajifungue kwa mamamkwe na nimejifungua na walitumia neno "tunamuazima"
2. Baada ya kujifungua hawakutoa update yoyote ya maendeleo ya mtoto wala mama waliyemwazima wakakaa kimya
3. Hawajatoa taarifa kwa wazazi wenza kwamba baada ya kujifungua basi anabaki hapa hapa.(refer kauli yao tunamuazima ili ajifungue).
Kiustaarabu walitakiwa kufanya yote hayo ila la kushangaza toka wametoa mahari hata mawasiliano tuu na wazazi wenza hakuna. Wazazi wenzao pia wanahitaji heshima yao na kupewa taarifa ya kinachoendelea na sio kuwafanyia dharau kama hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani inavyoonekana haitadumu.Kwa maelezo yako aya kumbe mgogoro unautengeneza wewe kwasababu mambo ya mawasiliano ni yapande zote ila nikama wewe uko upande wawazazi wako..Napata mashaka kama hiyo ndoa itadumu.ila ngoja tuone.
we mwanamke wa ajabu kweli umetoloewa mahali na umetotoa watoto wawili unasema bado hujaolewa how? kwani wazazi wako walikutafutia huyo mme. kaa jenga familia yako mtabaliki ndoa mkipata nafasi. Ndoa ni upendo wa dhati blabla zingine ni time wastage na money. ndo maana huyo jamaa kakukazia anaona hujielewi
mtoto wa pili umenipa wewe mkuu??we mwanamke wa ajabu kweli umetoloewa mahali na umetotoa watoto wawili unasema bado hujaolewa how? kwani wazazi wako walikutafutia huyo mme. kaa jenga familia yako mtabaliki ndoa mkipata nafasi. Ndoa ni upendo wa dhati blabla zingine ni time wastage na money. ndo maana huyo jamaa kakukazia anaona hujielewi
We jamaa umenichekesha. Vp avatar yako umebadili? Au kuna akina Beira boy wawili humu?Tuliza hicho kitumbua kwa mumeo kiliwe acha papara
Wazazi wako si washalamba mahari sasa wanataka nini tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimebadilisha avatar mkuuWe jamaa umenichekesha. Vp avatar yako umebadili? Au kuna akina Beira boy wawili humu?
BTW mtoa Uzi m naona ubaki tu kwa mumeo matharan mnaishi bila shida hakuna tatizo.
Wengi walikimbilia kufunga ndoa lakin hawakudumu huko. Kama aman ipo we baki tu huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata me naona.. kama yeye ndo anatengeneza huu mgogoroKwa maelezo yako aya kumbe mgogoro unautengeneza wewe kwasababu mambo ya mawasiliano ni yapande zote ila nikama wewe uko upande wawazazi wako..Napata mashaka kama hiyo ndoa itadumu.ila ngoja tuone.
Fuata huu ushauri uwe singo mazaUsiwakaidi wazazi wako, na mtoto kwa mama hakui sikiliza wazazi wako huyo hajawa mume rasmi bali mchumba tena mchumba halali sababu mahari tayari.
Maisha mafupi Fanya jambo sahihi kwa wakati sahihi.
Na hichi ndicho kilichotokea we jamaa ulitoa ushauri sahii kabisa asee. Kama angekusikia yasingetokea hayaaisee......ila mi nakushauri ubaki tu manaake ndugu zako hawawezi kukukana ila huyu jamaa anaweza akakupiga chini
Tatizo aliporudi kwao akaanza kutembea na wanaume za watu ,nikazipata hizo sasa arudi kufanya nini tena. Tatizo mkisharudi kwenu mnaanza kukumbuka makoloni .lakink wazazi wana nia njema na kwanini umuache sababu tuu amerudi nyumbani?
Sent using Jamii Forums mobile app