Naombeni ushauri wa Biashara ya vitenge kutoka Zambia

Ndiyo maanake kumbe, wabongo wanatamaa sana.
 
Mkuu hii mbona kama chai [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vp mkuu ukilipa kila kitu tra kuna kifaida kinabaki?
Sikufata taratibu za TRA skua na mzgo mkubwa . Tunduna mpaka kufika mbeya Kuna ukaguzi mzto sana ila kihvohvo kama una mzgo mdogo unapitisha,
 
M Mkuu Isanga family embu naomba walau Bei za TV na friji hapo kasumbalesa
 
Nasikia inalipa sana kwa kukwepa Kodi!Ila ukienda kihalali na ukwa vizuri kulipa TRA utakuwa mzalendo mwema na Nchi Yako.Kaza Buti .
 
We ulimpa no za wateja ?
 
Huenda atakuwa yuko selo.. hiyo biashara huwa haiendi kihalali. Magendo tupu.
 
Kuna siku nilikuwa natoka Sumbawanga kwenda Dar, kufika Tunduma wakapakia mzigo wa hivyo vitenge kufika vwawa TRA na Rand rover wakaipiga bus mkono wakaanza kukaguwa boot wavitowa vitenge mwenye mzigo haonekani, wakashusha mzigo sisi tukaendelea na safari.

Kwa kifupi TRA hawakai ofisini humo mipakani wanapiga doria ya mizigo ya magendo.

Sasa biashara ya magendo siyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…