Naombeni ushauri wa Biashara ya vitenge kutoka Zambia

😀😀 wateja wako mkoa gani?
Huyo atakua amekuzunguka kama ulimpa namba za wateja
Ila mkuu pisi elf 1000 si mchezo ata mtaji wake mnene
Sio 1.5M kama unavosema

Ila mkuu hivo vitenge ukifuata zambia kimagendo unacheza pata potea,watu wengi wamepotza mitaji
Maana ukidakwa mzigo wote wanachukua wale jamaa
Na ukisema ufanye kihali faida hakuna

Kwa sasa vitenge vya kushona a.k,a java au tereza au mwendokasi ni 6500 pisi moja
Ishu ni kuvusha mzigo
 
Huyo atakua amcekuzunguka kama ulimpa namba za wateja
Ila mkuu pisi elf 1000 si mchezo ata mtaji wake mnene
Sio 1.5M kama unavosema

Ila mkuu hivo vitenge ukifuata zambia kimagendo unacheza pata potea,watu wengi wamepotza mitaji
Maana ukidakwa mzigo wote wanachukua wale jamaa
Na ukisema ufanye kihali faida hakuna

Kwa sasa vitenge vya kushona a.k,a java au tereza au mwendokasi ni 6500 pisi moja
Ishu ni kuvusha mzigo
 
Sas kwanin watu wasilipe kodi wauze kwa amani?
 
Sas kwanin watu wasilipe kodi wauze kwa amani?
Wanatafuta profit marginkubwa
Unajua kodi ni kubwa ukifanya kihalali faida ni sisimizi
Matajiri wengi unaowasikia wanakwepa kodi,hii ndo siri ya biashara mkuu,zipo bidhaa chache analipia na zingine anakwepesha ili apate faida😀 vinginevyo utajuwa unawafanyia kazi TRA
 
Wateja wapo mwanza mkuu, huku waliniambia watanunua kwa 8500 pc aisee kumbe faida ipo. Ilikua sio lazima nilete 1000pcs zote ningeanza na kidogo ila nilisema hivyo ili kuonesha ni jinsi gani vinahitajika.
 
Nitakuja nijilipue hata na mzigo wa laki 5 nikikamatwa basi😁
 
1.5m na miezi tisa ana 8m nina shaka sana hapo
Na biashara yenyewe ya vitenge na raia walivyozoea kukopa vitenge + vitenge vya Kila aina vilivyozagaa kkoo+ Zambia hakuna kiwanda Cha hivyo vitenge + mkinga anampa mchina anamfyatulia same same = rudia msemo wa kikwete
 
Kumbe jibu unalo mkuu
 
Hiyo 6,500 ni bei kwa upande wa Zambia? Wao wanavitoa wapi ama wanazalisha kwamba kuna viwanda huko?
 
Ni biasha
Yenye faida kubwa saaana ushauri
Anza na mtaji wa lski mbili njoo Tunduma (black) chukua mzigo hata pisi 15 hapo na usafili nk inawza fika Hadi laki mbili nanusu hivi ukifanikiwa kufikisha mjini unaeza uwa faida Hadi paxu kwa pasu some times
 
Sawa mkuu, kumbe hata tunduma zipo sina haja ya kuingia zambia?
 
Sawa mkuu, kumbe hata tunduma zipo sina haja ya kuingia zambia?
Tunduma upande wa zambia
Mtu anaposema zambia hamaanishi anaenda mbali na tunduma
Walio wengi mizigo wanafungia hapo Tunduma upande wa zambia
Ila angalizo tu ni kwamba usafirishaji wake ni kama unasafirisha bangi au cokein,kwa sababu ya kukwepa kodi
 
Nimekupata mkuu ndio panaitwa nakonde sio, mwanzo nikijua mpaka niende lusaka. Mkuu hii issue lazima nitaijaribu one day.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…