Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
A very simple but accurate and right advise. [emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]The best option for you is to grow-up.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A very simple but accurate and right advise. [emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]The best option for you is to grow-up.
Utoto raha sanaKumbe kwa ajili ya vidada, vinunulie visikuseme.
Sasa hao wenye magari haviwasemi!?
Kwa huu mchanganuo inaonekana una matumizi mabaya sana ya pesa yaani usafiri tu pekee yake unatumia elfu kumi kwa siku!Mkuu unaona nyingi..100k natuma kwa wazee,200k nalipa rent,300k usafiri job,vocha na kula kazini,100k kusaidia ndugu na michango ya hapa na pale nabaki na 300k nasave au kipindi kile sina vitu vya ndani nanunua so sio nyingi
Wewe nunua kiwanja badala ya gariWanajamii humu, nimatarajio yangu mko poa.
Kwanza kabisa niombeni ushauri Kati ya hizi choices, ipo hivi mimi ni kijana umri age 28 mkazi wa Sinza hapa Dar, nimepanga pamoja na vijana wenzangu wanne hivi yaani hapo kwenye huo mji tupo watano. Vijana hao wanne wote mwaka huu wamenunua magari kasoro peke yangu tu hapo sina gari, sasa mimi ninaona jau sana halafu tabia ya kuwa chawa sipendi, nina option zifuatazo.
Naomba mnisaidie kimawazo.
1. Nihame hapo kuepukana na huo unyonge japo nimepazoea.
2. Namimi ninunue gari maana nina kaakiba kangu kama milioni nne bank, nyingine nikope ili namimi niendane nao.
Which Is best option?
Acha upumbavuWanajamii humu, nimatarajio yangu mko poa.

Asa hapo kwa mtiririko huo wa mwezi wa 10, mwingine wa 12, mwingine wa 1, na mwingine wa mwisho mwezi wa 2 inaonesha dhahiri kuwa hao jamaa zako wameigana na kwa maana hiyo upeo wa akili zao ni wa kiwango kimoja kwa sababu si kweli watu wanne mkawa na uhitaji wa gari katika kipindi kilichokaribiana kama hivo.Mwezi wa kumi na mwingine mwezi wa 12
Naomba nije PM mkuu.Huu unaitwa ugonjwa wa 'Keeping up with the Jonenes' na unatuathiri vijana wengi.
Hata mimi nimekutana na similar scenario ya kutaka kununua Beamer ya almost 50m ili niwe sawa na vijana wenzangu wa Forex Ontario na Elikanafx ila nikafikiria na kuona haina maana kwa sababu mimi si wa mizunguko mingi plus tayari naishi sehemu ambayo yote nayohitaji yako karibu karibu.
Kilichonisaidia ni kufikiria 20 years ahead. Ni nadra kumkuta kijana alieishi maisha makubwa in 20s akawa anafanya hivyo hivyo in 40s na kuendelea. Its more wise kuwekeza katika kipindi hiki kuliko kufanya matumizi ya kushinikizwa.
Fanya tathmini angalia wapi unaweza kuizalisha pesa yako ikawa zaidi. Na usidhani kuwa kuna mtu anakufikiria kihivyo. Kila mtu ana shida zake katika maisha ambazo ni muhimu kuliko wewe kuwa na gari.
Nyeto inasave sana lifeushawahi kupiga PUNYETO.......kama hujawahi piga siku moja......then think about it baada ya kumaliza......haya maisha....hii dunia inakuhusu wewe tuuu......fanya kazi kwa bidii utimize ndoto zako.......usiishi kujilingalisha......achana na maisha hayo ya ghetto......wala usifikirie kupanga ...think to own.....ukiweza kupiga jitahidi kila asubuhi....
Ndo uwezo wako ulipo.Bro sio poa…Ni rahisi kusema.Wote asubuhi wanaondoka na ndinga zao mimi nachukua boda kweli?
Sku waite weka hennessy wale tigo ukiwarekod utaifurahia maishaWawili walinunua mwaka jana,mmoja alivyorudi kutoka likizo mwezi wa kwanza kaja nalo..Wa mwisho ambaye alikuwa ananipa company tupo wote last week ndo kaja nalo ka kadi ya gari ina jina lake…Sasa mara wakague kague pale waitane mara Sijui bumper imekuaje mara mafuta ya sheli Fulani yanakaa sana ilimradi tu Fujo pale…Sasa mimi nikisikia hivyo nataka niwajibu kwamba nami nimo
Acha Ukolo Jenga Nyumba Duniani Hakuna Baba Mwenye GariWanajamii humu, nimatarajio yangu mko poa.