Naombeni ushauri wa haraka: Ndoa mwezi mmoja, mimba miezi miwili

Hakuna uhusiano kati ya siku ya kufungwa ndoa na kupata mimba. Je kama walikuwa anagegedana kabla ya ndoa? Mimba kutungwa huwa haisubiri ndoa ifungwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshangaa kwamba waTz bado tuna uelewa mdogo Sana katika mambo tunayokutana nayo kila leo. Sio mleta mada Tu, hata baadhi ya wachangiaji.

Vitu vya kukadiria vinatutoa ubinadamu, uanaume na kuanza kuwa wasema ovyo.

Mimba changa hivyo huwezi kupata exactly age kirahisi unless ulihesabu Tangu kipindi cha kutungwa.
Kutegemeana na urefu wa mzunguko WA hedhi wa mwanamke- mimba itakuwa na umri WA weeks 1.5 mpaka 3 zaidi ya muda WA kutungwa kwake. Na bado anayepima Kwa uss anaweza kuzidisha au kupunguza umri huo.
 
hivyo vipimo msiviamini mia kwa mia. Ampende tu mkewe. ajifanye kama hakuna lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamndenyi, unaweza kutoa majibu rahisi kwa hoja nzito kama hiyo, huyo mwanamke aeleze kwanza mimba ya nani ?, unaweza kukuta unaanza kulea kitu sio chako, halafu mbaya zaidi wanawake walivyo wapuuzi atakuwa anaendelea na huyo jamaa aliyempa mimba, sijui ni kwa nini wanawake wanashindwa kujiheshimu..
 
Kwahiyo mmekosa Marafiki,ndugu,wazazi,mshenga ndo mkaja huku?

Kuna baadhi ya mambo mtu anayaleta hapa mpaka unajiuliza uanaume wake kama uko sawa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke apigwe suspension hadi akijifungua, majibu ya DNA ndo yamrudishe au yamtoweshe kabisa
 
Mwambie hivi apige chini huyo mambo ya aibu ni ya muda mfuoi tu ....kuliko kulea uovu

Sent using i phone x
 
Dah mkuu, kwahiyo unataka msela aanze na ndoa yenye masononeko wakati akimuacha hana cha kupoteza. Huyo amuache hakuna lingine la zaidi. Tena bora ameonyeshwa namna mke wake alivyo mbwa mapema kabisa! Jibu ni moja tu ACHA!
 
Duh... Kwahiyo wanaume wasiojua mzunguko wa hedhi za wake zao ni wapuuzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…