MWALIMU DAIMA
Senior Member
- Mar 4, 2023
- 129
- 263
Naomba kuuliza kwenu wakuu, upi ni ushauri wenu kwa Mimi/ sisi vijana ambao tupo vyuo vikuu, juu ya kuwekeza kupitia pesa ya boom.
Mfano mm apa had sasa nipo semester naingia semester ya nne nime save almost laki tano,
Na natarajia mwaka wa tatu ni save million moja na nusu,
Sasa wakuu nipo njia panda kwenye mawazo haya mawaili;
01. Nataka hizi pesa ni endeleeni kuzi save hadi tapo maliza chuo ndipo nianze kuwekeza.
02. Nawaza kumpa mama kiasi kadhaa aanze kunizungishia kipind nipo masomoni,(mama yangu ni mwaminifu).
Naombeni ushauri walimu