Naombeni ushauri wana jamii juu ya uhusiano nilionao kwa mpenzi wangu

Naombeni ushauri wana jamii juu ya uhusiano nilionao kwa mpenzi wangu

Thelone

Member
Joined
Aug 20, 2024
Posts
7
Reaction score
20
Nina msichana niko kwenye uhusiano nae yapata mwaka wa8 sasa, lakini kwenye maisha ya uhusiano kamili ni miaka6, wa 7 na wa8 imeikuwa ni miaka ambayo changamoto,misukosuko,kugombana na kufikia hatua ya kuvunja kwa uhusiano.

Shida ilianzia pale ambapo ameniona mm siendi kumchumbia kwao hpo ndo ugomvi umeanzia, nimeanza kum'bembeleza juu y hlo tangia 2024 na nikamwbia nipo tayr kuja, nkiwa nimeandaa safari ya kwenda kwao akaniomba pesa ya mtaji wa biashara (150k) na nimmnunulie smartphone ya (200k) nikamjibu sina pesa kwani najiandaa kuja kwenu na mpaka kumalizika kwa taratibu za awali za posa ni wastani wa(200k)+naul nend rudi (100k).

Ebwan hapo ndio ukawa mwanzo rasmi wa yeye kuniambia simfai,hataki kuwa na mimi tena niendelee na maisha yangu mengine, hataki nifike kwao kutoa posa nisijisumbue. Nimebembeleza takribani mwaka mzima lakini hataki. Sasa nami nimemjibu kuwa nipo tayari kuachana nae.

Chaa ajabu ananilaumu,ananitumia sms kupitia mitandao ya kijamii(DM) ananiambia nimemkosea sana. sijui nifanyeje maana nishamkubalia tuachane lakini bado ananitfuta sana
 
Wewe ni tatizo sana.
Miaka 8 kwenye uchumba umeshindwa kumpa mimba.
Alafu huna maamuzi ya kiume manaake Ata ulichokuja kuomba ushauri hueleweki unataka kushauriwa Nini?
Muache Binti wa watu akaolewe na mwanaume acha kumzibia ridhiki
 
Sasa ww nimecheka serious 8yrs amna mtoto mlikua long distance nn 😹😹 ila ww si muachane

POV;tumemwambia amuache utasikia tumerudiana mapensi bhana 🚮🚮
Niliwai kuchangia Mada hapahpa kweny swala la mahusiano ya mbali. Huyu nipo nae mbali, kupita mwaka1 bila kuonana ni kitu cha kawaida tu kwetu, kwao natambulika lakini sio kwa kuchumbia, hvo Dada ake, na kaka ake ndyo ambao wananipaga taarifa endpo akienda mwanaume kumtolea posa binti anakataa,. Mpaka leo hii kashakataa si chini ya wa5
 
Back
Top Bottom