Naombeni ushauri wana jamii juu ya uhusiano nilionao kwa mpenzi wangu

Naombeni ushauri wana jamii juu ya uhusiano nilionao kwa mpenzi wangu

Usikibali mahusiano yako yakawa kama sanduku la maoni Yani kila wazo unalichukua kiukweli Wewe unajua nini unataka kwenye ayo mahusiano ivyo kaa chini mueleweshe mwenzio nini unataka
 
Miaka nane saa hizi ndo qnakumbuka smartfoni ?

Mbn huo muda watu wana watoto watatu au wawili? Au ndo nyie sex ni baada ya ndoa ?
Hii ni strategy ya binti kuachana na jamaa coz anajua hawezi kutoa hiyo 350k ya simu na mtaji. Binti yuko mbele ya muda jamaa bado ameganda kama alivyoganda miaka 8 yote.
 
Hivo vitu alivyokuomba ilikuwa sio vya kumnyima ukizingatia ni mtu wako muda mrefu.
 
Nina msichana niko kwenye uhusiano nae yapata mwaka wa8 sasa, lakini kwenye maisha ya uhusiano kamili ni miaka6, wa 7 na wa8 imeikuwa ni miaka ambayo changamoto,misukosuko,kugombana na kufikia hatua ya kuvunja kwa uhusiano.

Shida ilianzia pale ambapo ameniona mm siendi kumchumbia kwao hpo ndo ugomvi umeanzia, nimeanza kum'bembeleza juu y hlo tangia 2024 na nikamwbia nipo tayr kuja, nkiwa nimeandaa safari ya kwenda kwao akaniomba pesa ya mtaji wa biashara (150k) na nimmnunulie smartphone ya (200k) nikamjibu cna pesa kwan najiandaa kuja kwenu na mpak kumalizika kw taratib za awali za posa ni wastan wa(200k)+naul nend rudi (100k).

Ebwan hapo ndio ukawa mwanzo rasmi wa yeye kniambia simfai,hataki kuw namm tena niendelee na maish yang mengine, hataki nifike kwao kutoa posa nisijisumbue. Nimebembeleza takriban mwaka mzm lkn hataki. Sas nami nimemjibu kuwa npo tayari kuachana nae.

Chaa ajabu ananilaumu,ananitumia sms kupitia mitandao ya kijamii(DM) ananiambia nimemkosea sana. sijui nifanyeje maan nishamkubalia tuachane lakin bado ananitfuta san
Hiyo miaka 8 yote ya uchumba, mlitaka kufungua kiwanda cha uchumba?

Huyo amekuchoka, pengine aliona hauna future naye so akishatafuta kipya kingine hapo anataka akuangushie wewe jumba bovu. Hapo ni kimbia Fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukiumia inuka we vumilia kimbia fasta
 
Achana nae. Red flags. Kaona umeshindwa mtimizia haja zako anakutamkia ivyo. Achana nae.

Nje ya mada: Posa 200k hafu wanakupa mtoto au iyo ni kishika uchumba?
 
Sasa ww nimecheka serious 8yrs amna mtoto mlikua long distance nn 😹😹 ila ww si muachane

POV;tumemwambia amuache utasikia tumerudiana mapensi bhana 🚮🚮
Halafu wewe njoo kwangu nikuoe bana ujue kiukweli nakupenda sana mtoto mzuri.

Please ukisoma huu ujumbe wangu naomba tuwasilane mke wangu mtarajiwa. Hopefully we may keep in touch and bond together 🥰🙏
 
Halafu wewe njoo kwangu nikuoe bana ujue kiukweli nakupenda sana mtoto mzuri.

Please ukisoma huu ujumbe wangu naomba tuwasilane mke wangu mtarajiwa. Hopefully we may keep in touch and bond together 🥰🙏
Unaweza toa ng'ombe 30 au Bado unajitafuta😹
 
Halafu wewe njoo kwangu nikuoe bana ujue kiukweli nakupenda sana mtoto mzuri.

Please ukisoma huu ujumbe wangu naomba tuwasilane mke wangu mtarajiwa. Hopefully we may keep in touch and bond together 🥰🙏
Mtwara umekosa pisi uko nn 😹
 
Unaweza toa ng'ombe 30 au Bado unajitafuta😹
Usinifanyie hivyo bana sio mke wangu mpenzi ujueee! We need to have a stable family and focus life together ❤️ 😘

Hata nikitoa ng'ombe 30 hazitakuwa na faida kwako zaidi ya show off tu kwa ndugu na marafiki kuwa wewe ni expensive kwa sababu umelipiwa na mimi mume wako mahari ng'ombe 30 but it will do nothing/ won't have any contribution to the family that we may establish together!

Naamini utakuwa umenielewa vema mke wangu mpenzi ❣️ 😘
 
Ngoja niulizie mahali yangu ngapi nikurudie
 
Back
Top Bottom