chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,350
- 25,870
Ata mimi nimewaza kwa kina miaka nane bila mimba.Wewe ni tatizo sana.
Miaka 8 kwenye uchumba umeshindwa kumpa mimba.
Alafu huna maamuzi ya kiume manaake Ata ulichokuja kuomba ushauri hueleweki unataka kushauriwa Nini?
Muache Binti wa watu akaolewe na mwanaume acha kumzibia ridhiki
Inatakiwa apewe maelekezo huyuAta mimi nimewaza kwa kina miaka nane bila mimba.
Habari rafiki ako aliacha kukusamanga ?Hamna kushauri watu wamefanya tabia mbaya pamoja
🤣
Chai hiyoSasa ww nimecheka serious 8yrs amna mtoto mlikua long distance nn 😹😹 ila ww si muachane
POV;tumemwambia amuache utasikia tumerudiana mapensi bhana 🚮🚮
Walinisema aikarudi tu kwetuHabari rafiki ako aliacha kukusamanga ?
Miaka 8 mbona kawaida. Sisi tuna miaka 9, mwakan wa 10 ndiyo tunaenda kutambulishana.Miaka 8 ....aisee kweli wajinga tupo wengi....miaka 8 mpo tu...
Hapana nyinyi siyo soulmate
Kwani unaish wapi bibiye?Walinisema aikarudi tu kwetu
DodomaKwani unaish wapi bibiye?
Ooh maeneo gani hapoDodoma
NtakuambiaOoh maeneo gani hapo
Hebu mnunulie smartphone na umuoe huyu binti kakuvumilia sana kijanaNiliwai kuchangia Mada hapahpa kweny swala la mahusiano ya mbali. Huyu nipo nae mbali, kupita mwaka1 bila kuonana ni kitu cha kawaida tu kwetu, kwao natambulika lakini sio kwa kuchumbia, hvo Dada ake, na kaka ake ndyo ambao wananipaga taarifa endpo akienda mwanaume kumtolea posa binti anakataa,. Mpaka leo hii kashakataa si chini ya wa5