Naombeni ushauri wana jamii juu ya uhusiano nilionao kwa mpenzi wangu

Usikibali mahusiano yako yakawa kama sanduku la maoni Yani kila wazo unalichukua kiukweli Wewe unajua nini unataka kwenye ayo mahusiano ivyo kaa chini mueleweshe mwenzio nini unataka
 
Miaka nane saa hizi ndo qnakumbuka smartfoni ?

Mbn huo muda watu wana watoto watatu au wawili? Au ndo nyie sex ni baada ya ndoa ?
Hii ni strategy ya binti kuachana na jamaa coz anajua hawezi kutoa hiyo 350k ya simu na mtaji. Binti yuko mbele ya muda jamaa bado ameganda kama alivyoganda miaka 8 yote.
 
Hii ni strategy ya binti kuachana na jamaa coz anajua hawezi kutoa hiyo 350k ya simu na mtaji. Binti yuko mbele ya muda jamaa bado ameganda kama alivyoganda miaka 8 yote.
Mshkj sijui anafelii wapii aseeh nane parefu kidg
 
Hivo vitu alivyokuomba ilikuwa sio vya kumnyima ukizingatia ni mtu wako muda mrefu.
 
Hiyo miaka 8 yote ya uchumba, mlitaka kufungua kiwanda cha uchumba?

Huyo amekuchoka, pengine aliona hauna future naye so akishatafuta kipya kingine hapo anataka akuangushie wewe jumba bovu. Hapo ni kimbia Fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukiumia inuka we vumilia kimbia fasta
 
Achana nae. Red flags. Kaona umeshindwa mtimizia haja zako anakutamkia ivyo. Achana nae.

Nje ya mada: Posa 200k hafu wanakupa mtoto au iyo ni kishika uchumba?
 
Sasa ww nimecheka serious 8yrs amna mtoto mlikua long distance nn 😹😹 ila ww si muachane

POV;tumemwambia amuache utasikia tumerudiana mapensi bhana 🚮🚮
Halafu wewe njoo kwangu nikuoe bana ujue kiukweli nakupenda sana mtoto mzuri.

Please ukisoma huu ujumbe wangu naomba tuwasilane mke wangu mtarajiwa. Hopefully we may keep in touch and bond together 🥰🙏
 
Halafu wewe njoo kwangu nikuoe bana ujue kiukweli nakupenda sana mtoto mzuri.

Please ukisoma huu ujumbe wangu naomba tuwasilane mke wangu mtarajiwa. Hopefully we may keep in touch and bond together 🥰🙏
Unaweza toa ng'ombe 30 au Bado unajitafuta😹
 
Halafu wewe njoo kwangu nikuoe bana ujue kiukweli nakupenda sana mtoto mzuri.

Please ukisoma huu ujumbe wangu naomba tuwasilane mke wangu mtarajiwa. Hopefully we may keep in touch and bond together 🥰🙏
Mtwara umekosa pisi uko nn 😹
 
Unaweza toa ng'ombe 30 au Bado unajitafuta😹
Usinifanyie hivyo bana sio mke wangu mpenzi ujueee! We need to have a stable family and focus life together ❤️ 😘

Hata nikitoa ng'ombe 30 hazitakuwa na faida kwako zaidi ya show off tu kwa ndugu na marafiki kuwa wewe ni expensive kwa sababu umelipiwa na mimi mume wako mahari ng'ombe 30 but it will do nothing/ won't have any contribution to the family that we may establish together!

Naamini utakuwa umenielewa vema mke wangu mpenzi ❣️ 😘
 
Ngoja niulizie mahali yangu ngapi nikurudie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…