Naombeni ushauri wanaume jf




hahahahaaha. dawa yao kuwafanya kama kaka zako kichwani kwako, utaona mambo yanafunguka! ukiwaweka moyoni ushaumia!
 
Uyo wa pil anakutaman tu...ukimpa papuch imekula kwako..
 
wachache wenye kulitambua ulilosema. big up mkuu

wakati mwingine nataman niweke kitchen part maana wanatutia aibu

Ingewasaidia mana kila kukicha wana mapya tena yasiyo na vichwa wa miguu.
 
weka kuna watu wanatufanya tunaonekana wote ndio walewale
haswaaa, wanani let down kweli hawa viumbe. au tusubiri shule zifunguliwe tuone kama ndo mtindo huu naweka kitchen party ya bureeeee
 
haswaaa cjui wanakula maharage ya wapi hawa
Hahahaaaa! Tena ili ujue hajafunzwa anawaomba ushauri wanaume .

Kaazi kweli kweli. Ila mumy hebu siku moja tuwafunze hata kama hawatafunzika kwa 100% basi angalau tutawatoa tongotongo japo kidogo. Pia sisi wanawake tunatakiwa tujue kuwa kuanzisha mada zisizo na maana sio uhodari.
 
then nataka kuwafundisha jinsi ya kutumia neno NO and YES

Wanawake wengi wamekuwa na ugumu wa kutumia neno NO pale wanapotaka kusema no, You have to know how to say NO or YES to a sentence.
 
then nataka kuwafundisha jinsi ya kutumia neno NO and YES

Wanawake wengi wamekuwa na ugumu wa kutumia neno NO pale wanapotaka kusema no, You have to know how to say NO or YES to a sentence.

Kweli kabisa mumy. Inatakiwa ifikie kipindi wanawake wenye id za kike na wenye jinsia ya kike kweli tushikamane ili tuwakomeshe hawa wanaume wasioisha kutudharau kila kukicha kutokana na baadhi ya wanawake kushindwa kushughulisha akili katika kufanya maamuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…