Naombeni ushauri wanaume jf

Naombeni ushauri wanaume jf

JAMANI JAMANI ..kwanza nashukuru mungu kwa kunionyesha mchumba miss singeli
Nakuahidi Mimi nitakuwa mwaminifu na pia jana nilipewa kiwanja cha urithi ..nakuahidi ukinikubalia mimi dume suruali nitakiuza kiwanja nilichopewa na babu ili tukaishi hotelini ..ikiwezekana twende Serena hotel ...pia nitakuwa mtiifu kwako yaani nitafanya kila kitu unachokitaka bebi
 
Papuchi ni yako halafu sie tukupe ushauri kama umpe au usimpe mtu, wewe veeeeepi?
 
Nimekosa Hamu na mwanaume wangu kutokana na tabia na mambo ya machukizo na maumizo anayoyafanya ..[HASHTAG]#ametokea[/HASHTAG] mwanaume mmoja kunipenda kwa mda mrefu lkn nilikuwa simpi chance hii nikutokana na kuwa nahuyo mwenye maumizo na machukizo naombeni mnishauri je nianze nae mahusiano officially au nisubir kwanza .??Msaada wenu plz maana nimechoka sipati Upendo nao taka kutoka kwa huyo wa kwanza#huyu mwingine ameonyesha Upendo kwa mda mrefu,kunijali,kuniheshimu,kunishauri na kazalika.
Vyote unavyo wewe mbona wa 1 hujauliza toa tena bure siamini kama amekuzungukia mda ukizidi wki 2
 
Na Shida inakuja pale unaemwambia nae ana yake kibao ya kufanya
Kuna watu wamesoma saikolojia kazi yao kushauri watu wenye shida kama hizi, humu anakutana na kachumbari imechanganya kila aina ya mtu wanazidi kumpa stress.
 
Kuna watu wamesoma saikolojia kazi yao kushauri watu wenye shida kama hizi, humu anakutana na kachumbari imechanganya kila aina ya mtu wanazidi kumpa stress.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom