Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji23] [emoji23] tuanzishe wetu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nitacheka tukifukuzwa kwenye uzi wa watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] tuanzishe wetu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nitacheka tukifukuzwa kwenye uzi wa watu
Tatizo JF wanataka tutaje majina yetu, sasa tukianza kutajana majina kama hapa nakushauri vipi? Maana huenda namshauri Mke wangu, ngoja tuhamie PMNimekosa Hamu na mwanaume wangu kutokana na tabia na mambo ya machukizo na maumizo anayoyafanya ..[HASHTAG]#ametokea[/HASHTAG] mwanaume mmoja kunipenda kwa mda mrefu lkn nilikuwa simpi chance hii nikutokana na kuwa nahuyo mwenye maumizo na machukizo naombeni mnishauri je nianze nae mahusiano officially au nisubir kwanza .??Msaada wenu plz maana nimechoka sipati Upendo nao taka kutoka kwa huyo wa kwanza#huyu mwingine ameonyesha Upendo kwa mda mrefu,kunijali,kuniheshimu,kunishauri na kazalika.
babe sitafanya hvyo.Anhaaa... kumbe uko huku enh?? Ole wako leo tena unlishe mboga iliyoungua.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]itakua vizuri mana asije akaona tunamzibia kupata madanga[emoji23] [emoji23] tuanzishe wetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari nenda celebrity kauweke basi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]itakua vizuri mana asije akaona tunamzibia kupata madanga
uko tutaulizwa dougiemasta ni celebrity gan [emoji28][emoji28][emoji28]tuendelee hapa hapa bwana mwenye uzi atajua mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari nenda celebrity kauweke basi
unajua utu uzima ni dawa acha tu adange huku na huko hajui wanaume angejua hata mmoja hapo hampendi asingeongea.namshukuru Mungu kunipa jicho la tatu sipendi kabisa mapenzi siku hizi na nipo ok hadi nabarikiwa wanaume kumbe wana gundu aisee ukiwa nao hata mafanikio yanakata .
ha ha ha geni njo umsikie ndg yako [emoji28]Wadada wa humu wambea sana
MAMA FACEBOOK UKO VZURIkawaje baada ya hapa
Ushauri: Una mimba ya miezi nane, unagundua mumeo kampa mwanamke mwingine mimba
Binti husomeki
Hii ni kwa wanaume wenye vifua
Aiseee
Msaada, mwenyekujua sifa za mwanaume rijali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dougie kapagawa balaa leouko tutaulizwa dougiemasta ni celebrity gan [emoji28][emoji28][emoji28]tuendelee hapa hapa bwana mwenye uzi atajua mwenyewe
sunnahWadada wa humu wambea sana
lazima ata kama ndio ww geni unapagawa anajifanya mwarabu kumbe hawa cheusi [emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dougie kapagawa balaa leo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa cheusilazima ata kama ndio ww geni unapagawa anajifanya mwarabu kumbe hawa cheusi [emoji28]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]flatscreen kama shunie halaf anajifanyaga ana 8 figure milly kiboko yao[emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa cheusi
Nimekosa Hamu na mwanaume wangu kutokana na tabia na mambo ya machukizo na maumizo anayoyafanya ..[HASHTAG]#ametokea[/HASHTAG] mwanaume mmoja kunipenda kwa mda mrefu lkn nilikuwa simpi chance hii nikutokana na kuwa nahuyo mwenye maumizo na machukizo naombeni mnishauri je nianze nae mahusiano officially au nisubir kwanza .??Msaada wenu plz maana nimechoka sipati Upendo nao taka kutoka kwa huyo wa kwanza#huyu mwingine ameonyesha Upendo kwa mda mrefu,kunijali,kuniheshimu,kunishauri na kazalika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa cheusi