Naombeni Ushauri Wenu hizi Ndala Nizivae au Nimrudishie?

Naitwa James ni mwezi wa pili sasa tangu nihamie kwenye nyumba moja yenye wapangaji wengi maeneo ya Mwananyamala.

Kwenye nyumba hii tuko wapangaji watatu...wanawake wawili pamoja na mimi.

Mara nyingi mimi hurudi nyumbani usiku na wala sina mazoea na wapangaji wenzangu. Cha kushangza juzi usiku nimerudi nyumbani nikakuta mlangoni kwangu mfuko wa plastiki umefungwa vizuri...

kwanza nikaogopa kuufungua lakini nikajipa moyo nikauchukua nikaingia nao ndani na kuufungua.

Nilichokikikuta ndani kilinishangaza ni ndala nyeupe zenye michoro ya moyo (love) na kibarua kidogo kimendikwa...."Kaka samahani kama nimekukwaza nimekuona kila asubuhi ukienda chooni na ndala zilizochakaa sana nikaona nikununulie ndala hizo kama zawadi...samahani narudia tena kuomba msamaha kama nimekukwaza ni mimi Belinda jirani yako chumba cha kati.

Nakutakia usiku mwema." Baada ya kusoma kibarua hiko nimekuwa na mawazo sana na asubuhi yake niliwahi sana kuondoka ilimradi nisionane naye.
JM LIBRARY
Mtu unaishi kimasikini kwa kuogea ndala zilizochakaa sana, anajitokeza malaika mnyenyekevu Belinda anakununulia mpyaa tena kwa upendo, UNAPATAJE NGUVU YA KUSEMA ETI SIJUI NIMRUDISHIEE??, AU eti NIMEPATA MAWAZO SAAANA, Come-on men
 
ji
Naitwa James ni mwezi wa pili sasa tangu nihamie kwenye nyumba moja yenye wapangaji wengi maeneo ya Mwananyamala.

Kwenye nyumba hii tuko wapangaji watatu...wanawake wawili pamoja na mimi.

Mara nyingi mimi hurudi nyumbani usiku na wala sina mazoea na wapangaji wenzangu. Cha kushangza juzi usiku nimerudi nyumbani nikakuta mlangoni kwangu mfuko wa plastiki umefungwa vizuri...

kwanza nikaogopa kuufungua lakini nikajipa moyo nikauchukua nikaingia nao ndani na kuufungua.

Nilichokikikuta ndani kilinishangaza ni ndala nyeupe zenye michoro ya moyo (love) na kibarua kidogo kimendikwa...."Kaka samahani kama nimekukwaza nimekuona kila asubuhi ukienda chooni na ndala zilizochakaa sana nikaona nikununulie ndala hizo kama zawadi...samahani narudia tena kuomba msamaha kama nimekukwaza ni mimi Belinda jirani yako chumba cha kati.

Nakutakia usiku mwema." Baada ya kusoma kibarua
 
Naitwa James ni mwezi wa pili sasa tangu nihamie kwenye nyumba moja yenye wapangaji wengi maeneo ya Mwananyamala.

Kwenye nyumba hii tuko wapangaji watatu...wanawake wawili pamoja na mimi.

Mara nyingi mimi hurudi nyumbani usiku na wala sina mazoea na wapangaji wenzangu. Cha kushangza juzi usiku nimerudi nyumbani nikakuta mlangoni kwangu mfuko wa plastiki umefungwa vizuri...

kwanza nikaogopa kuufungua lakini nikajipa moyo nikauchukua nikaingia nao ndani na kuufungua.

Nilichokikikuta ndani kilinishangaza ni ndala nyeupe zenye michoro ya moyo (love) na kibarua kidogo kimendikwa...."Kaka samahani kama nimekukwaza nimekuona kila asubuhi ukienda chooni na ndala zilizochakaa sana nikaona nikununulie ndala hizo kama zawadi...samahani narudia tena kuomba msamaha kama nimekukwaza ni mimi Belinda jirani yako chumba cha kati.

Nakutakia usiku mwema." Baada ya kusoma kibarua hiko nimekuwa na mawazo sana na asubuhi yake niliwahi sana kuondoka ilimradi nisionane naye.
JM LIBRARY
Humu ni wabahili sana hadi hamtaki kununua ndala kwa faida yenu
 
Ndala zina gharama kiasi gani mkuu

Tuseme elfu 2-3

Je ni kweli wewe umeishiwa kiasi cha kukosa hela ya kununua ndala.

Jibu likiwa hapana basi hizo ndala zichukue ziweke mlango Wa kuingilia chooni muwe mna-share wapangaji wote.

Wewe anabidi kukuonea huruma katika mambo ya msingi.

Akiendelea kukuonea huruma mwambie Dada naomba unilipie kodi miezi miatatu sina kitu.

Pia ishi na watu vizuri Ila usiingilike kirahisi yaani shida zako ziwe zako.
fanya kama hivi.
 
Na wew mnunulie kyupi kufanya ngoma droo.

Ujumbe ni uleule.
 
Nielekeze nami nije nipange hapo, nitaanika boxa iliyotoboka ili nami aninunulie
 
Back
Top Bottom