Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

ifike hatua tuwe na huruma na hawa watoto. unapanga kabisa kuzaa na mtu halafu huna commitment naye yoyote eeh anyway uamuzi ni wako.
 
Dunia hii huwezi kujua yajayo, na huwezi kupanga na pia hujui ulichoandikiwa
Kuna wakati mwingine unaongozwa kufanya kitu ila hujui
Kwa ushauri wangu funga nae ndoa oa kabisa weka ndani hakuna kupoteza mbegu bure
Eti nizalie tu umekuwa mbuzi
Maisha mafupi haya unasubiri nini kama amekuhakikishia maisha yake ni mazuri kwa nini msiyaendeleza nae?
 
Kwanza naomba radhi kwa hili nitaloeleza hapa maana naenda kinyume na codes za kiume "What happens in Vegas stay in Vegas" Sio vizuri sana kuzungumza mambo yako yahusishayo wanawake mitandaoni. But I have to do this coz sitaki kutumia akili yangu mwenyewe nisije haribikiwa mbeleni huko.

====
Binafsi mbali na utani na utundu wangu naokua nao huku Jf. Ila huku duniani nimtu tofauti nimezubaaa saaaaana +Shyness (Sorry if it sound weird). Kutokana na jinsi nilivyo swala zima la kupata mwanamke kwangu hua kipengele sana🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

So for the past 2 months kuna mgahawa nilikua napenda kula maramoja moja. Nikifika pale nafanya kilichonipeleka tu just salam, kuagiza chakula nasema ahsante kisha ninapita hivi.

Sasa mmiliki mwenye mgahawa mdada alikua akiniona ananichangamkia sana.. As a man nikawa nishajua she's into me. Coz kuna muda nilikua napata huduma kuliko kiasi cha pesa nacholipia.

Sasa siku moja tuko na wengine workers nikawa nami naongea hapo ndio akapata chance ya kuwa anazungumza nami. Mara nyingi sana amekua akisema live kua she's into me. Mm hata sijali najua utani. Juzi hapo ndio akaniomba namba yangu nikachukua simu yangu akajidip nikawa na namba yake.

Sasa jana jioni akawa ananitext na kueleza anachotaka kwangu... Kiufupi huyu dada anataka azae na mimi. Yaani anasema anataman azae na mimi tu basi🤔🤔. Nilijua anatania nikiamwambia saa mbili nitapita alipo aonge live hicho anachotaka kama kweli yupo serious.
Jioni nikaenda alipo akanipiga mistari kama yote hadi nikamwambia hii haijawahi tokea maishani mwangu😀

Kama kawaida yetu wanaume hua ni maharage ya mbeya mbele ya vocals za wanawake ilibidi nikubali tu ili nisionekane mnyonge/boya.
Nilimwambia mm sijajipanga kuzaa au kuoa mwaka huu yeye akasema hana shida na kuishi na mimi.. Hahitaji hata shing mia yangu anachotaka tu mm nimzalishe.

Ameniambia yeye ana nyumba yake ya urithi na frame za urithi mjini zenye wapangaji +plus mgahawa yeye anahitaji mtoto nami tu hata nisumbua kwa lolote.
Tatizo ananizid miaka kadhaa maana yeye ni wa 96 mimi wa ....... Ila sura, tako shepu matata vyote vipo

Sasa wakuu nipeni muongozo juu ya hili swala niamue nini kuhusu swala la kuzaa nae. Maana siwezi susia free utelezi. Mwenyewe anataka Jpili hii tuanze shughuli ya kumtia mimba😬😬😬

Kwa wapenda pichaView attachment 2862817
View attachment 2862818
Wanawake wa namna hii ni wa kuogopa sana, wanataka mwanamme mpole wakati wao wenyewe walishacheza na maisha huko nyuma, usikute hapo mgahawani karibia kila mteja alishamla na kumkojolea watakavyo. Sasa kachoka anataka azae na mwanamme zwazwa ama mlokole.
 
Mkuu simamia misingi ya mwanaume kula mzigo swala la kukuzalia angalia ni mwanamke wa aina gani usidanganyike na maneno yake ukishazaa nae kumbuka hutakwenda mbali leo kasema hataki hela yako ila ipo siku utakuja hapa kuuliza tena cha msingi kama unajiogopa nenda kwa baba yako kaa nae ongea nae vizuri ushauri atakaokupa ufuate humu hakuna anaejua maisha yako kwahyo watu watatoa maoni yao kwa namna wanavyoona wao
Sahih
 
Kwanza naomba radhi kwa hili nitaloeleza hapa maana naenda kinyume na codes za kiume "What happens in Vegas stay in Vegas" Sio vizuri sana kuzungumza mambo yako yahusishayo wanawake mitandaoni. But I have to do this coz sitaki kutumia akili yangu mwenyewe nisije haribikiwa mbeleni huko.

====
Binafsi mbali na utani na utundu wangu naokua nao huku Jf. Ila huku duniani nimtu tofauti nimezubaaa saaaaana +Shyness (Sorry if it sound weird). Kutokana na jinsi nilivyo swala zima la kupata mwanamke kwangu hua kipengele sana🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

So for the past 2 months kuna mgahawa nilikua napenda kula maramoja moja. Nikifika pale nafanya kilichonipeleka tu just salam, kuagiza chakula nasema ahsante kisha ninapita hivi.

Sasa mmiliki mwenye mgahawa mdada alikua akiniona ananichangamkia sana.. As a man nikawa nishajua she's into me. Coz kuna muda nilikua napata huduma kuliko kiasi cha pesa nacholipia.

Sasa siku moja tuko na wengine workers nikawa nami naongea hapo ndio akapata chance ya kuwa anazungumza nami. Mara nyingi sana amekua akisema live kua she's into me. Mm hata sijali najua utani. Juzi hapo ndio akaniomba namba yangu nikachukua simu yangu akajidip nikawa na namba yake.

Sasa jana jioni akawa ananitext na kueleza anachotaka kwangu... Kiufupi huyu dada anataka azae na mimi. Yaani anasema anataman azae na mimi tu basi🤔🤔. Nilijua anatania nikiamwambia saa mbili nitapita alipo aonge live hicho anachotaka kama kweli yupo serious.
Jioni nikaenda alipo akanipiga mistari kama yote hadi nikamwambia hii haijawahi tokea maishani mwangu😀

Kama kawaida yetu wanaume hua ni maharage ya mbeya mbele ya vocals za wanawake ilibidi nikubali tu ili nisionekane mnyonge/boya.
Nilimwambia mm sijajipanga kuzaa au kuoa mwaka huu yeye akasema hana shida na kuishi na mimi.. Hahitaji hata shing mia yangu anachotaka tu mm nimzalishe.

Ameniambia yeye ana nyumba yake ya urithi na frame za urithi mjini zenye wapangaji +plus mgahawa yeye anahitaji mtoto nami tu hata nisumbua kwa lolote.
Tatizo ananizid miaka kadhaa maana yeye ni wa 96 mimi wa ....... Ila sura, tako shepu matata vyote vipo

Sasa wakuu nipeni muongozo juu ya hili swala niamue nini kuhusu swala la kuzaa nae. Maana siwezi susia free utelezi. Mwenyewe anataka Jpili hii tuanze shughuli ya kumtia mimba😬😬😬

Kwa wapenda pichaView attachment 2862817
View attachment 2862818
Ninachofahamu mimi binafsi, ni kuwa huwa wasema hivyo hivyo(nikuzalie) ila akizaa tu, trip za kwenda dawati utaziona , utahangaika sana kulea mtoto huyo.
 
Back
Top Bottom