Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

ifike hatua tuwe na huruma na hawa watoto. unapanga kabisa kuzaa na mtu halafu huna commitment naye yoyote eeh anyway uamuzi ni wako.
 
Dunia hii huwezi kujua yajayo, na huwezi kupanga na pia hujui ulichoandikiwa
Kuna wakati mwingine unaongozwa kufanya kitu ila hujui
Kwa ushauri wangu funga nae ndoa oa kabisa weka ndani hakuna kupoteza mbegu bure
Eti nizalie tu umekuwa mbuzi
Maisha mafupi haya unasubiri nini kama amekuhakikishia maisha yake ni mazuri kwa nini msiyaendeleza nae?
 
Wanawake wa namna hii ni wa kuogopa sana, wanataka mwanamme mpole wakati wao wenyewe walishacheza na maisha huko nyuma, usikute hapo mgahawani karibia kila mteja alishamla na kumkojolea watakavyo. Sasa kachoka anataka azae na mwanamme zwazwa ama mlokole.
 
Sahih
 
Ninachofahamu mimi binafsi, ni kuwa huwa wasema hivyo hivyo(nikuzalie) ila akizaa tu, trip za kwenda dawati utaziona , utahangaika sana kulea mtoto huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…